Safari yangu ya kisiwa cha Mafia na fununu za rupia ya Kijerumani

ah ah kiongozi unaujua mji wako
 
mimi ninazo kiroba... soko lipo wapi mkuu... hizo za 1 rupee na zenye simba wawili...
Tafuta tabora coin(Rupia ya Gold ya mwaka 1916 yenye uzito wa 6.8 grams za Gold) nahisi hizo ndo zinazotafutwa kwenye mapango mengi hapa TZ kama vile hadithi nyingi zinatuambia.
 
Kuhusiana na kukusana noti na sarafu za zamani ni biashara ambayo ipo, na ndio inayomuweka yule shabiki wa stars bongozozo mjini, sema kibongo bongo imegubikwa na utapeli, hayo mambo ya wajerumani kuzifukia siyaamini sana
 
Nadhan mwisho wa mwezi ntarudi tena mafia...ila mda huu ntapanda coastal aviation nafhan...ntakachoona ntarejesha jamvini
 
panda tropical au tumia meli sasa zinaenda meli za jeshi ila ile ya serikal nahis inaanza mwezi ujao
 
Sasa hivi ipo meli inafanya kazi kwa nauli ndogo tuu, na muda wa safari baharini ni masaa 3 tu.
 
panda tropical au tumia meli sasa zinaenda meli za jeshi ila ile ya serikal nahis inaanza mwezi ujao
Kweli maendeleo hayana vyama.....mji utaamka sana kutokana na hili
 
Kweli kiongozi..unaipandia wapi boss
Ni kweli kabisa, unapandia Nyamisati, soma hii habari
 
safi sana
 
Kuna dogo kalokota hiyo Ina dili au nimwambie aitupe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…