King yedidiah
Member
- Apr 4, 2023
- 52
- 178
Habari za muda huu wapambanaji
Mimi ni kijana mwenye umri wa 30's, napenda kushea na vijana wenzangu maisha yangu hasa katika eneo la mahusiano yasio rasmi, yaani kuruka ruka Bila kujali afya, nina visa vingi sana, nitajaribu kufupisha na namna gan nilivo chukua maamuzi magumu ya kupima.
Nimezaliwa katika familia ya kilokole, yaani tulikulia katika imani kali na maadili , nilikuwa mshika imani na mafundisho na nilifundishwa kujitunza kwa kutofanya zinaa mpaka nitakapo ingia kwenye ndoa. Katika kipindi changu cha masomo ya sekondari mpaka namaliza kidato cha sita sikuwahi kukutana kimwili na mwanamke wala kuwa na mahusiano ya kimapenzi, nilikuwa mtu mwenye aibu sana, wenzangu walikuwa wananiita baba mchungaji, wengine padri, lakini mambo yalianza kubadilika nilipomaliza kidato cha sita.
Kumbuka kipindi chote hicho cha masomo ya sekondari mpaka nahitimu kidato cha sita nilijiweka bize na masomo. Yaani ilikuwa ni mimi na kitabu, ila nilipomaliza nilipata ufaulu wa wastani, dvn Two point 10 (pcb) ambayo sikufanikiwa kupata kozi ya afya (udaktari) ivo kwa mwaka huo nika ahirisha kwenda chuo, hapo nikawa nakaa nyumbani bila kazi na hapo shida ndipo ilipo anzia.
Siku moja nikiwa nyumbani Pekeangu alinitembelea mtoto wa rafiki yake na mama ambaye kiumri nimemwacha, alikuwa kamaliza form four lakini hakupata ufaulu wa kuendelea ivo akawa yupo tu kwao, alipo fika nilimkaribisha, na alikuwa ananifaham nilikuwa mtu wa dini sana lakin siku iyo tukiwa tupo sebulen akaniambia inaoneka haukunikumbuka hata kunikumbatia ndo tumeonana leo tokea umemaliza form six, aise kwa jinsi alivokuwa amevaa nilijikuta naanza kushawishika ( kumbuka, an iddle mind is a devil workshop) na hapo sikuwah kumkumbatia mwanamke tangu nikue , nikamwambia nisamehe si unajua umeingia ukiwa unaongea na simu, basi akasimama akaniambia aya nikumbatie sasa, aise nilipata aibu, nikahisi jasho linanitoka , alinifuata niliposimama akanivuta nikajikuta nimemshika ile zero distance, aise haikupita sekunde 30 nilikuwa nimeloanisha suruali na zile ejaculation fluid , aise nilijisikia aibu sana na mfadhaiko, alinicheka sana yule msichana, akanipa namba akasema siku nikiwa na muda tuwe tunawasiliana na kupiga stories nisiwe mpweke sana , sikufanya nae chochote aliniaga akasepa. Tokea hapo nikaona kumbe nilikuwa mbali na huu ulimwengu. Ila shida ikawa ni vipi nitaanza katika ulimwengu huu wa mapenzi, kila siku nilikuwa natamab ijitokeze siku kama ile walau nimkumbatie tena yule msichana.
Kisa cha kwanza;
Mwaka uliofuata nilienda kuacha masomo yangu ya fani ya utabibu, katika ngazi ya diploma katika chuo x maana kwa ngazi ya degree nilikosa sifa, nikiwa chuoni nilikutana na group discussion na nikakutana na dada mmoja aliyetokea kunizoea sana, tukawa tunachat, siku moja aliniambia ana maongezi na mimi na alitaka maongez hayo tukayafanyie sehemu iliyotulia tutayokuwa pekeetu, aise kumbe mchezo mzima kaupanga, amelipia chumba lodge, ivo akanielekeza, ilikuwa wakati mgumu sana kwangu Kwani sikuwah kuingia lodge tokea nizalie. Kipind icho nina miaka 22 tu, Nilijikaza kiume nikazama nikiwa nimevaa cape , aise nikauliza nikaelekezwa chumba, tukiwa tunapiga stor alianza kunitega mikao mingi wakati huo na mimi hisia zipo juu wakat tumekaribiana nikakumbuka kondom, nikamwomba nikachukue condom akaonyesha kukwazwa na kauli yangu akaniuliza huniamini, aise nikamwambie kumbuka katika fani yetu tuna code inasema " Suspect every one as infectious" alicheka akasema sawa nenda kachukue, nilichukua nilikuwa sijui hata kuivaa😂😂 alicheka sana kasema haamini kama kakutana na bikra wa kiume katika umri huu, akanivalisha akanielekeza mpka wapi niweke mashine😅 nilipoweka nikaanza kwenda , haikuchukua muda kwa mara ya kwanza nikahisi raha ambayo sijawah kuisikia, nilipiga kelele nikachomoa kuangalia, akacheka akaivua ile condom akanivalisha nyingine, tukaanza tena nikamaliza wakati huo imebaki condom moja, nayo nikaitumia, zikawa zimeisha nikamwambia ngoja nikachukue condom tena akanivuta akasema kama unataka na condom mi sikupi, kwa utamu nilio upata aise akili ya kichwa cha juu ikazidiwa na ya kichwa cha chini, nikaenda kavu kavu aise mpaka jion nilipiga bao za kutosha, niliporud chuoni nilijilaumu sana kwanza nimekosea, pili nimerisk afya yangu. Nikazama lab nikachukua vipimo nikamwomba tupime akagoma aise, nilianza kutetemeka kipndi nikamshirikisha bro mmoja alikuwa daktar akasema dogo njoo uchukue PEP, nikachukua nikapiga siku 28 kucheki nikawa niko poa nikashukuru Mungu.
Kisa cha pili
Katika lodge tuliyoenda na yule mwanachuo mwenzangu katika kisa cha kwanza , yule mhudumu wa lodge alikuwa mzuri sana ana shape ya hatari, kusema kweli nilimtamani sana, nilienda mpaka ile lodge nikamwambia sikuja kutaka chumba ila nilikuja kuomba namba yake, akagoma kata kata akasema kama nina shida ya kununua dada poa ana namba zao ampigie mmoja aje , nikamwomba sana sikuwa na shida ya dada poa, namuhitaji , akanisema sana kwamba hawezi kuwa na mimi , maana ile siku aliniona na yule msichana, ivo haniamini, nilimwambia kisa chote ilivokuwa mwishowe akanipa namba, aise nakiri kusema huyu dada wa lodge ndie aliyenifanya nikazama mazima kwenye ulimwengu wa zinaa, kwanza nilimwomba tukutane akasema hataki iwe kwenye lodge ile anayofanyia kazi, anataka twende tukaenjoy lodge nyingine, tukafika tukaanza mambo.. Huyu ni mwanamke wa pili kulala nae, alikuwa mtamu kuliko kawaida, nilitumia condom zote zikaisha, nikajikuta nimemkula kavu kavu aise kwa mara ya pili nikafanya upumbavu wa kuweka afya yangu rehani na hatuku pima, ikawa ndio mchezo wetu , kila nikihitaji nampigia naenda kumla mpaka lodge alipokuwa anafanyia namla, siku moja akanibana akasema tupime, nikakubali. Tukapima wote tukawa sawa, ikafika kipind akahitaji nimuoe kumbuka nilikuwa chuo bado. Nikamzungusha mwisho wa siku akaamua kuniacha akidai sikuwa na malengo nae haikupita muda akaolewa.
Kisa cha tatu;
Baada ya yule dada mhudumu wa lodge kuolewa sikuwa na sehemu ya kupeleka upwiru. Hapo nikajikuta nimeangukia ulimwengu wa madada poa, nikawa kila nikienda lodge namwambia muhudumu mpigie dada poa aje tunakulana kila mtu anashika njia yake, na hapa ndo nataka nielezee zaidi kwani ndo shida ilipoanzia, nilikuwa mtu ninaewaka tamaa.. Nilikuwa nikimla dada poa navaa condom, lakini nikawa sisikii radha Ikifika katikati ya tendo namwomba nivue nimpige kavu kavu, na katika wote niliowahi kuwaomba niwapige kavu kavu hakuna aliyewahi kukataa hata mmoja, niliendelea ivo ikafikia mahala nikawa situmii condom kabisa.
Siku moja nilikutana na dada poa fulani, nilikuwa na nyege sana , alipoingia room alikuwa anaonekana amedhoofu, ni kama mwathirika, lakini wakati huo pepo la ngono lilikuwa limenitawaka sikukubali kumwachia, nilisema ntamla kwa condom, nilianza kumtafuna, lakini condom ilikuwa imenibana sana kiasi nikawa siskii radha, wakati naingeza spidi condom ikapasuka , nikahisi utamu umeongezeka sikuchomoa mpaka nikamwaga, nilipomwaga akaniangalia akasema umemwagia ndani. Nikamwomba samahani kwani haikuwa kusudio langu , cha kushangaza akasema kaenjoy tuendelee kavukavu, tukaendelea akawa ananipa K bure ikafika kipindi ananipeleka kwake tunakulana kavu kavu.. Siku moja tukiwa tunakulana na huyu dada poa katikati ya tendo nikamwangalia Mgongoni nikakuta ana mkanda wa jeshi . ( zoster\ shingles) aise pale pale mashine ikanywea, kuchunguza vizuri K yake ina vidonda kwa ndani, aaah nikachoka, nikasema tayari, nikajisemea hapa nimeukwaa hata nikisema nikatumie vidonge vya PEP haitosaidia, nimekulana nae wiki za kutosha, baada kama ya siku tatu nikaanza kupata vimafua , baada ya wiki lymph node Za shingoni (Mitoki) zikaanza kuvimba, nikaanza kutokwa na vidonda mdononi na kwenye fizi( mouth sores) si muda nikaanza kutokwa na rashesh aise nikawa na hofu kubwa sana, kilo kila siku sikaanza kushuka kutoka kilo 78 mpaka kilo 61 , wakati huo nilikuwa nimemaliza chuo nikawa napiga kazi kitaa kujitolea ila nilikuwa nikiona vipimo vya HIV (VVU) moyo unashtuka, nakumbuka kuna siku nilipangiwa RCH kwenye afya ya mama na mtoto ila ndani ya wiki moja nilipakimbia, maani ilikuwa mtu kipimo kiki react najiona na mimi siku nikipima itakavokuwa, na akili iliniaminisha kuwa tayar nimeukwaa.
Ilipita takribani miaka minne sikuwahi kupima, na nilikuwa natembea na dada poa bila kinga maana niliamini nimeukwaa kwa madada poa sasa tuendelee kugawana na madada poa, nakumbuka idadi ya madada poa niliowahi kulala nao bila kinga ni 40+ yani nilijikatia tamaa, watu wa karibu wakawa wananiuliza nina shida gan maana nazidi kupungua.
Nachukua hatua ya kufanya maamuzi magumu ya kupima;
Mwaka huu 2024 mwezi wa kwanza nikaamua maamuzi kwamba sitafanya ngono na mwanamke yoyote, mpaka miezi mitatu ili nipime, kweli nilifanikiwa sikufanya ngono kipindi cha miezi mitatu. Nikaenda kuchukua kimo cha mate kwa kuanzia, (SALIVA HIV self test) nikapima ikaja negative, sikuamini nikasema huu ni utani, nikaenda kuchukua kipimo cha damu ( HIV 1/2 rapid test) nikatest bado negative, nikaona huu utani huu, nikachukua Unigold hiv rapid test kwa ajili ya comfirmatory majibu bado yakawa negative, nikaona huu muujiza , nikaamua kuanza maombi nikamrudia Mungu, nikasema nisubiri tena miezi mitatu mingine wakati huo namwomba Mungu majibu yasije kubadilika, na hatimaye mwezi huu wa saba tarehe moja ikatimia miezi saba bila kufanya ngono, nikapima vipimo vyote mpka vya lab majibu yakawa negative, aise huo ndio ukawa mwisho wa kufanya zinaa na namshukuru Mungu tokea hapi nina amani, na zile dalili zote nilizokuwa nikizipata ilikuwa ni hofu, zote zimepotea.
Note; Pepo la ngono likikuvaa hata kama wewe ni daktari huwez kumbuka kinga, na madaktar wengi ndio wahanga wa vvu, kwani wanapima mtu kwa kumwangalia physical signs .
Vijana wenzangu nawashauri, haijarishi umeruka ruka kiasi gani. Ni bora kujua afya yako, najua ni ngumu inahitaji ufanye uamuzi mgumu, kama nilio ufanya, najua kuna wengi dalili zinawadanganya kama ilivokuwa kwangu mpaka unajihisi tayari unao, hiyo yote nj hofu anayokupa shetani ili ukate tamaa. Na wengine wanaendelea kuruka ruka wakidhani wameupata hivo wanausambaza. Kumbe hauna ila ukiendelea kuna siku utaupata kweli. Kiukwel nimejifunza mengi sana katika maisha niliyoyapitia . kwa sasa kilo zangu zimerudi kwa sana nina kilo 76kg na BMI yangu ni 24.3 ambayo ni nzuri kiafya. Poleni kwa kuwachosha natumai kuna watu nimewapa matumaini ya kwenda kupima na kutulia na mwenza mmoja. Na Mungu akijaalia natumai kuoa ili niindokane kabisa na hii dhambi ya zinaa. Ahsanteni