Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa

Upo sahihi mkuu, ila huo ndo ushuhuda wangu, na siwashauri kupiga kavu kavu, condom zipo.. Kama huwezi bora kupima na kujua hali zenu wote wawili
Hiyo ya kupima,kama demu kapata last week alafu umempma leo kipimo si kitasom -ve n bora utumie condom.
 
Duh kayavaa kishezi kweli
 
Duh kayavaa kishezi kweli
Alihangaika na azuma mwanzo mwisho sas hiyo haitoshi pia kuna kipindi tulienda kijiji fulan kikazi tukakutana na wenyeji wetu.

tukaweka kikao na kwakuwa mzigo tulikuwa nao tukazungusha vinywaj watu walioza balaa kwa mtungi si mida ikafika nikamtonya moja ya wenyej wang kuwa sitak kulala peke yangu akanambia subiri nae alikuwa kalewa asieee nililetewa pisi matata sana.

kuku wankienyej ni wazuri ila wamekosa matunzo tu bwana bwana mm na mtungi wangu nlienda kumla yule demu kavukavu.

Asubuhi pombe kuisha yule jamaa aloniunganishia kuna mtu akamfata akamtonya mwamba kwmb ameniona naelekea ghetto na manzi fula je hamjamtonya jamaa kuhusu yule demu.


Wahuni wakaanza kujaji ndiyo yule aloniunganishia akashtuka akadai ni yeye ndiyo kaniunganishia ila lilikuwa wenge la pombe kumbe yule demu kawaka na watu wanajua natokea maskani jamaa akaanza kuniomba msamaha sana ndy baadae naambiwa nkawaambia kuwa i was born dead no body can kill me isipokuwa anaenipa pumzi so kama kaamua iwe kwa hivyo wewe hauna kosa just chill man wote wakashangaa ni vile sikuwa na hofu kabisaaa.


Ikapita miezi nikapima nipo fresh tu uyo bro wangu akawa aamini tena mpaka kesho anaogopa sna kufata nyendo zangu nikamwambia wew ulishaweka hofu na hivi vitu acha kujaribu wewe umeoa mm sijaoa so tulia na mkeo tu nina matukio mengi ambayo mpaka kesho bro aamini kama nmetoka salama na mara ya mwisho nikamthitishia tukaenda pima na yeye ila ajab yeye akaogopa kabisa ingawa muumin wa kinga mim nkapima na majbu kayaona nipo fresh.
 
Kwaiyo conclusion ni ipi?
 
Kwaiyo conclusion ni ipi?
Jibu lipo kwenye comment ya kwanza ulo reply kwa faida nimesema hivi kwa hizi vitu ni bora kusikiliza moyo wako unakwambia nini mana sometimes hofu uwa ni tiba though not all the time.
 
Jibu lipo kwenye comment ya kwanza ulo reply kwa faida nimesema hivi kwa hizi vitu ni bora kusikiliza moyo wako unakwambia nini mana sometimes hofu uwa ni tiba though not all the time.
Okay na mimi nitajaribu kavu tuone
 
Ushuhuda unatoa somo zuri Sana. ..Kila laheri chief kwenye maisha mapya.
 
Vijana wenzangu nawashauri,
Bro mpaka nivunje rekodi yako kwanza umesema 40+ nataka niwakate ndani ya wiki 3 niwe nimefikisha km 50+ alafu na mimi nikaanze kupima mate km nimeukwaa, umekula sana raha we Jamaa kula sana mbunye mpaka sasa zinakuheshimu
 
Duh we jamaa ni mwamba sana yani uliamua kujilipua tu liwalo na liwe, sema sio kesi mshukuru mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…