Tuko pamoja Mkuu.
Mimi pia natumia Duolingo kujifunza Kifaransa. Muda mwingine naitumia kujifunza Kiingereza pia.
Nadhani kama una ABCs za Kiingereza huna haja ya kupita hiyo njia ya kutafasori kwa Kiswahili, tumia Kiingereza moja kwa moja.
Pia tumia YouTube kama Learning English with Teacher Tiffany, pia watafute jamaa mmoja anaitwa Elhadj Tv na Ayo Kiss wana short films zinasaidia kujinoa kwenye lafudhi.
Kila la heri.