Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Mambo ya ID mbili hayo...
Me siwez kusahau nlipata kitengo officers mess kule michungwani 821 nkazidisha wepesi nkacheza na vitafunwa vyao acha nvitumikie
Msosi wa jeshi sifa kuutumikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya kuvuliwa nguo zote na kubaki uchi chai hiyo, jeshini maovyo ovyo mengi ila si hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa OP gani mkuu??Wapi NGUTANYI huyu mzee ni shidahh aiseee hahahaha huyu ndo alinifanya niamin ile kauli ya jeshini hakishindikani kitu privates wenyewe walikuwa wanasanda hahahaha.....BULOMBORA nilipenda kipindi cha Kuogelea ziwani tuh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi NGUTANYI huyu mzee ni shidahh aiseee hahahaha huyu ndo alinifanya niamin ile kauli ya jeshini hakishindikani kitu privates wenyewe walikuwa wanasanda hahahaha.....BULOMBORA nilipenda kipindi cha Kuogelea ziwani tuh.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kule ukipita mahanga ya serengeti si kuna michungwa kwenye viunga vya kwenda kota za maafsa
nlihangaika sana kumkumbuka jina la mteule huyu nashkuru nmelipata leo[emoji23][emoji23] imeelewekaaa in ngutanyi voiceWapi NGUTANYI huyu mzee ni shidahh aiseee hahahaha huyu ndo alinifanya niamin ile kauli ya jeshini hakishindikani kitu privates wenyewe walikuwa wanasanda hahahaha.....BULOMBORA nilipenda kipindi cha Kuogelea ziwani tuh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anazunguka mno, Mara Sophia sijui Calorite imepwaya. Siasa nyingiUsiendelee tu...kwanza part 1 hata usingeileta tu maana haina maana yoyote.
Part two ingetosha kuandikwa mistari miwili maana hizo stori za getini na mabegi ya bob Marley mara sophia wa kijijini hazina maana yoyote.
Inshort story yako sio interesting kama unavyodhani au kama unavyotaka kutuaminisha halafu unazunguka sana milima.
Kumbe bwege hili liafande. Linaleta story nusu nusu halafu linajisahau
nlihangaika sana kumkumbuka jina la mteule huyu nashkuru nmelipata leo[emoji23][emoji23] imeelewekaaa in ngutanyi voice
Sent using Jamii Forums mobile app