Safari yangu ya kwenda Bulombola ilivyonikutanisha na Mrembo wa Kaskazini

Safari yangu ya kwenda Bulombola ilivyonikutanisha na Mrembo wa Kaskazini

Katika tuliokula kazi ni awamu ya kwanza nilikuwa kanembwa jkt, awamu zingine nahisi mmekula maisha kidogo baada ya kujua namna ya tulivyotakiwa tutendewe kutokana na hali ya kila mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi NGUTANYI huyu mzee ni shidahh aiseee hahahaha huyu ndo alinifanya niamin ile kauli ya jeshini hakishindikani kitu privates wenyewe walikuwa wanasanda hahahaha.....BULOMBORA nilipenda kipindi cha Kuogelea ziwani tuh.

Sent using Jamii Forums mobile app
nlihangaika sana kumkumbuka jina la mteule huyu nashkuru nmelipata leo[emoji23][emoji23] imeelewekaaa in ngutanyi voice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiendelee tu...kwanza part 1 hata usingeileta tu maana haina maana yoyote.
Part two ingetosha kuandikwa mistari miwili maana hizo stori za getini na mabegi ya bob Marley mara sophia wa kijijini hazina maana yoyote.
Inshort story yako sio interesting kama unavyodhani au kama unavyotaka kutuaminisha halafu unazunguka sana milima.
Anazunguka mno, Mara Sophia sijui Calorite imepwaya. Siasa nyingi
 
Back
Top Bottom