Single Phase
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 259
- 375
Bado Season 2!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa kipindi Mkuu ungenda kukaa kambini moja na Isabella (quarantine la Corona) kwa hizo kamasiHii post inanikumbusha mbali wakati huo Nina full kombati npo kwenye mashamba ya mpunga na silaha yangu nipo guard zamu yangu hapo napigwa na baridi kwelikweli mpaka natoa kamasi puani kwenye mfuko wa koti kuna picha ya mtoto nilipiga nae naichomoa namuuangalia nakumbuka good memory napata morali nasema yes one day nitarudi uraiani nikuone ..
I miss her a lot
82_? KJ
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaaaaaaaIngekuwa kipindi Mkuu ungenda kukaa kambini moja na Isabella (quarantine la Corona) kwa hizo kamasi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaendelea........
Baada ya kushuka pale getini tuliingia ndani ya ile kambi. Pale mapokezi tuliambiwa tuweke mabegi yetu kwenye kichumba fulani ambacho kilikuwa jirani na pale reception.
Tukiwa tumesimama pale akaja afande mmoja ambaye ana mwili wa mazoezi, mrefu na mnene kiasi. Akatuambia tupange mstari, wanawake mbele na wanaume nyuma.
Lahaula... Nilishangaa yule askari akituambia tuvue nguo zote tubaki kama tulivyozaliwa. Wengi wetu tulisitasita kufanya zoezi ilo, hadi pale wawili miongoni mwetu walipopigwa kelebu za nguvu na kuangukia mtaroni.
Basi hapo ndio kila mtu akaanza kusaula manguo yake, mbele yangu nakumbuka alikuwa dada mmoja hivi mweupe mweupe na alikuwa amevaa ligauni lirefu hadi miguuni. Basi baada ya kuambiwa tuvue nguo ndio nikauona uzuri wa umbo lake halisi jinsi alivyokuwa amejazia.
Hali hiyo ilinifanya nisahau nipo wapi nikajikuta naanza kumtani nimgijigiji, nilianza kuwanza nipo nae kitandani hali iliyonifanya nisisikie maelekezo tuliyokuwa tunapewa na yule afande hadi pale nilipotolewa kwenye lile lindi la mawazo baada ya kuhisi nimepigwa na kitu kizito kama mbao mgongoni kumbe ni yule afande alikuja kunipiga kofi la mgongo baada ya kuniona nimeconcentrate kuangalia lile tako la mtoto wa kaskazini.
Itaendelea........
Kuvua nguo !! Ni kweli ama unanogesha soga!! Bila kujali uwepo wa jinsia ya kike, loh! Kumbe patamu sana huko. Na wale wasopenda kunyoa mazivu si ndo kuaibika...? Vipi mb*o ikidinda ni kosa? Lete michapoInaendelea........
Baada ya kushuka pale getini tuliingia ndani ya ile kambi. Pale mapokezi tuliambiwa tuweke mabegi yetu kwenye kichumba fulani ambacho kilikuwa jirani na pale reception.
Tukiwa tumesimama pale akaja afande mmoja ambaye ana mwili wa mazoezi, mrefu na mnene kiasi. Akatuambia tupange mstari, wanawake mbele na wanaume nyuma.
Lahaula... Nilishangaa yule askari akituambia tuvue nguo zote tubaki kama tulivyozaliwa. Wengi wetu tulisitasita kufanya zoezi ilo, hadi pale wawili miongoni mwetu walipopigwa kelebu za nguvu na kuangukia mtaroni.
Basi hapo ndio kila mtu akaanza kusaula manguo yake, mbele yangu nakumbuka alikuwa dada mmoja hivi mweupe mweupe na alikuwa amevaa ligauni lirefu hadi miguuni. Basi baada ya kuambiwa tuvue nguo ndio nikauona uzuri wa umbo lake halisi jinsi alivyokuwa amejazia.
Hali hiyo ilinifanya nisahau nipo wapi nikajikuta naanza kumtani nimgijigiji, nilianza kuwanza nipo nae kitandani hali iliyonifanya nisisikie maelekezo tuliyokuwa tunapewa na yule afande hadi pale nilipotolewa kwenye lile lindi la mawazo baada ya kuhisi nimepigwa na kitu kizito kama mbao mgongoni kumbe ni yule afande alikuja kunipiga kofi la mgongo baada ya kuniona nimeconcentrate kuangalia lile tako la mtoto wa kaskazini.
Itaendelea........
Inaendelea........

Part 2 tayari
Asee...maafande wakike nawa husudu sana.Safari yangu ya kwenda Burombola ilivyo nikutanisha na mrembo wa kaskazini sehemu ya 2.
Basi mara baada ya kushushiwa getini tulishitushwa na sauti kubwa ya afande, "wote mikono juu, piga magoti, piga magoti" tukaswagwa mpaka kwenye kiunga kimoja karibu na geti la kambi huku tukiwa tunatembelea magoti. Wenye mabegi na mizigo mikubwa walitembea kwa magoti huku mabegi yao yakiwa kichwani.
Mimi bahati nzuri niliambiwa na rafiki yangu aliye jiunga na mafunzo intake ya kwanza kuwa nisiende na begi kubwa, hivyo nilibeba kisport changu kidogo kimeandikwa luck Dube, ndani nilibeba kikombe, kijiko, sahani moja, nguo mbili yaani shati moja na suruali moja pamoja na zile nilizo kuwa nimevaa jumla nguo nne.
Mara baada ya kuswagwa mpaka kwenye kile kiunga karibia na geti la kambi afande aling'aka na kusema "toa simu yako haraka na umpigie mzazi wako kuwa umefika kambini" mimi nilikua nikichelewa kutoa Mara afande alikuja upande wangu alinizaba banzi moja la mgongo, nilitoa simu yangu haraka huku nasikilizia maumivu. Afande alikua haraka kama mashine ya cherehani utazani amevuta Bangi maana hata macho yake yalikua mekundu sana, watu walikua wazabuliwa mabanzi utazani magunia.
Basi kila mmoja alibaki kuwa na hofu moyoni huku machozi yakimlenga. Nilitoa simu yangu na kumpigia simu mama, na kumtaarifu kuwa tayari nimefika salama kambini, basi mama aligundua kuwa kama nilikua nalia, ndipo alipo niuliza ni kwema huko, ile nataka kumwambia afande aliamuru kila mmoja atoe laini ya simu kwenye simu na tumkabidhi simu zote. Alikua akizungumza kwa sauti kali utafikiri Simba aliye ona swala, na wakati anazungumza alikua akipitisha mabanzi na mabuti ya migongoni. Basi mara baada ya zoezi lile la kumkabidhi zile simu afande mawasiliano na wazazi na ndugu zetu wa karibu yalikatika ghafura.
Tulipelekwa na afande mpaka mabwenini ambapo kwa lugha ya kijeshi wanaita mahanga, tulipangiwa kila mmoja maeneo yake ya kulala. Baadaye afande alitupeleka mpaka jikoni tukapewa msosi tukala, nakumbuka ulikua ni wali, na maharage na chai rangi. Mimi tangia nianze nijiunge na masomo yangu ya advance kwa kweli sikuwai kubakisha wali kwasababu tulikua tukipimiwa ratio ndogo sana, kwasababu katika shule ile niliyo soma kulikuwaga na ufisadi mkubwa sana wa wali na nyama. Lakini kwa mara ya kwanza siku ile nafika jeshini nilipewa wali mwingi sana lakini pamoja na juhudi zangu zote katika swala ulaji sikufanikiwa kuumaliza bali niliishia kuutupa kwenye dampo lililo kuwepo pembeni mwa lile jengo la jiko.
Lakini nilipo angalia na wenzangu nao pia hawakufanikiwa kumaliza kile chakula. Mara alikuja kijana mmoja ambaye ni service man yaani kijana aliye maliza mafunzo yake tayari akaanza kutupigisha stori. Kwanza alianza "wazalendoooooo ni kawaida ya mzalendo kutomaliza chakula. Mmeshiba lakini au tuwaongeze, kula mzalendo kula mzalendo mzabuni hanaga nomaa" kiukweli yale maneno ya yule service man yalianza kunitia mashaka. Baadaye alikuja afande mmoja ambaye alijulikana kwa jina la afande mwita, akamwambia yule service man kuwa atupeleke kulala na alisisitiza kuwa wazalendo wasiteswe na wasisumbuliwe walale mapema.
Basi kila mmoja alienda kulala kwenye hanga lake asubuhi tuliamka mida ya saa mbili asubuhi tukaenda kunywa chai, kabla ya kupewa chai tuliamriwa kupanga mistari nikiwa kwenye mstari macho yangu yalikua yakiangaza kila pembe, nilianza kuwaona wototo wakali wa kila aina, wengine weupe, maji ya kunde na wengine mablack beauty, wengine wahindi wengine wachina. Alafu wengi wao walikua ni wale watoto laini walio toka shule kali kama za fedha girls, Baobab, Marian girls n.k. Basi baadaye nililifikia dirisha la mgawaji ambaye pia alikua ni afande aliye julikana kwa jina la mzabuni. Yule afande akinipatia mkate mmoja mkubwa uliopakwa blue band safi, karanga pamoja na chai kwenywe kikombe kikubwa.
Niliondoka nikakaa karibu na Marafiki zangu tukaanza kuifakamia chai, kiukweli katika maisha yangu sijawai kula mkate mkubwa kama ule, mara tu baada ya kunywa chai nilishiba sana, afande alipo toa nafasi ya kubasti mimi sikuwa na hamu tena lakini pia nilishangaa sana hata rafiki zangu pia hawakuwa na hamu tena. Basi akati naangaza macho huku na kule, nilishituka nilipo gonganisha macho na afande mmoja wa kike.
Afande yule alikua mrefu, mweupe, mwenye umbo zuri na macho yake yalikua yanavutia sana lips zake nazo zilikua ni tamu kwa kuzitizama tu. Afande yule ambaye nilisikia akiitwa kwa jina la afande Suzan, alikua amevalia kombati ya kijani isiyo na bakabaka na buti. Nilipo mwangalia kwa muda mrefu sana nilianza kuvuta picha na kumfananisha na binti mmoja wa kichaga mrembo niliyetokea kumpenda sana, jina lake Sophia, kiikweli Sophia alifanikiwa kuuteka moyo wangu wote hakubakiza hata nusu.
Naweza kusema pale kijijini kwetu hakuna binti aliye kuwa anamzidi uzuri. Sophia alikua ni mzuri tena ule uzuri wa asili wa bila losheni, maana alikuwa akitokea kwenye familia ya kimasikini ambayo haikuwa na uwezo wa kumudu kununua hata carolaiti. Nina uhakika mafuta aliyo akipaka Sophia yalikua ni top raise lakini kutokana na kwamba Mungu alimzawadia rangi nyeupe ya kuvutia, Sophia bado alionyesha uzuri wa asili.
Sophia nilitokea kumpenda lakini umbali uliokuwepo kati ya nyumbani kwao na kwetu ulipelekea mimi kutofikisha ujumbe wangu kwake. Alafu ukizingatia kwao kulikua ni polini sana kwa hiyo walikuwa wamefuga limbwa likali sana. Siku moja nilifunga safari kwenda kwao kwa mguu ambapo ulikua ni umbali kama wa kilometa 5 tokea nyumbani, mara nilipofika tu niishia kufukuzwa na mbwa mkali sana. Baadaye nikabadirisha njia ili kumkwepa yule mbwa nikawa namsubiria Sophia kwenye njia moja ya kwenda mtoni ili nimbane kama akitokea kwenda mtoni labda anaweza akatoka lakini sikufanikiwa kumwona. Mpaka ilipofika jioni nikaamua kurudi nyumbani bila mafanikio.
Alafu kibaya zaidi kipindi hicho Sophia hakua na simu, kwa hiyo nilitumia zaidi njia ya barua kuwasiliana naye. Lakini kuonana naye ana kwa ana ilikuwa ni mtihani sana. Basi nilivyo mwona yule afande kiukweli walikuwa wanafanana copy write utafikiri alikuwa ni dada yake, kwakweli nilianza kutamani kwenda kuongea na yule afande. Na kwa vile mimi sikuwa mwoga basi niliamua kumface afande yule wa kike ili nimuulize vizuri kama ana undugu wowote na Sophia wangu.
Itaendelea...........
..
Aah Mapesa unzingua bana,part 2 baada ya mwaka, nishasahau hata story ilipoishia[emoji51]Part 2 tayari
Hahahaaaaaa,Aah Mapesa unzingua bana,part 2 baada ya mwaka, nishasahau hata story ilipoishia[emoji51]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwendelezo uko tayari
Mwendelezo uko tayari
Mwendelezo ulishitokaTunausubiri
Unapenda story,Aah Mapesa unzingua bana,part 2 baada ya mwaka, nishasahau hata story ilipoishia[emoji51]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawajua masikini jeuri wewe?!??Unapenda story,
Njoo nikusimulie
Beggars can't be choosers