Safari yangu ya mahusiano

Patima

New Member
Joined
Nov 23, 2024
Posts
4
Reaction score
6
Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nilifanikiwa kuwa kwenye mahusiano na mkaka mmoja hivi mwenye umri wa miaka 30.

Tulipendana kwa mtazamo wa macho ya nyama. Ila maisha yalibadilika nilivyobeba mimba. Mvutano ulikuwa mkubwa sana.

Let's go.... Safari yangu ya ujauzito bila baba wa Mwanangu. Ni huzuni sana
 

Inaendela au ndio umeishia hapa?

Ilikuaje ukakubali kubeba ujauzito na mwanaume hajakuoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…