Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,878
- 8,063
Kamata MWIZI MEN!Mbona kama hueleweki??Halafu huu mwandiko wa kiume!
Mwanaume wangu kafulia, simpendi tena kama zamani. Nifanyeje?
My man kafulia jamani , before mambo yalikua mazuri alikua anahudumia kila kitu kuanzia rent, my expenses na kila ninachohitaji. Ila recently tangu last year December Yani mambo yamekua ovyo sana kwake . Yani hela ananipa ila kidogo sana tena ya kusubiri. Sasa Naona mapenzi kwake yameanza...www.jamiiforums.com
Je, ni Sahihi kuwasiliana na ex wako?
Je, ni sahihi kuwasiliana na ex wako au kuwa na namba yake kama upo kwenye ndoa Au mahusiano?www.jamiiforums.com
Siipendi hii tabia
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu. Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula...www.jamiiforums.com
Sifa za husband material
1. Anajitambua 2. Mpole 3. Ana busara 4. Ni mtoaji sio mchoyo tena bila kuomba 5. Ana tafuta solution tu pindi akikukwaza 6. Hayuko tayari ku kupoteza 7. Ana risk kila kitu kwaajili yako 8. Ana huruma 9. Anakufanyia suprise often just kukufanya uwe na furaha 10. Ana kusifia very often 11. Anakua...www.jamiiforums.com
Ukitaka mpya muumbe mkuu ๐Tuseme jamaa kanunua gazeti jioooni lishatumika ๐
Wewe na Bibi mlikutana wap??Pole na hongera, maisha yanatupa nafasi ya pili wakati mwingine
Heri yake yeyeHongera kwa kupata mtu sahihi ktk life lako.
Kwa kweli.Heri yake yeye
Wengine wanatoleshwa mimba kadhaaa
Na mambo mengi ya ajabu paka wanafikia hatua yakuolewa
Kwani bro hao bikra wameumbwa na naniUkitaka mpya muumbe mkuu ๐
Unaposema kuchezewa unamaanisha nini? Alikuwa anatumia DILDO?๐Nilijifunza kupitia machungu, kutapeliwa, kuchezewa, na kutumiwa.
๐น๐น๐น Dah!!