Safari Yangu ya Mapenzi: Kutapeliwa, Kuchezewa, na Hatimaye Kupata Mume wa KwelI.

Bado unasafari ndefu sanaa.

Paka Kapachino akubali si mchezo
😹😹😹 Chino yule nikisema ndio chap anawahi kuchukua mzigo..!!

Ila nimecheka sana 🤣
Unajua Sumbai mi ndoa siipi kipaumbele sijui kwann?? Yani mwanaume akinitajia ndoa huwa namsonya kimoyo moyo..!!
 
😹😹😹 Chino yule nikisema ndio chap anawahi kuchukua mzigo..!!

Ila nimecheka sana 🤣
Unajua Sumbai mi ndoa siipi kipaumbele sijui kwann?? Yani mwanaume akinitajia ndoa huwa namsonya kimoyo moyo..!!
Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi,

Lakini ni bahati pia wadau kukutajia ndoa maana kuna watu wanakutana na mauza uza tuu yaan wanaume wanaokutana nao hamna hata mmoja anasema ndoa.

Kapachino Kama sema neno bwana twende songea huko tupeleke mahari,
 
Nampa pole huyo Jamal. "K" imeishatembea weee na kupuyanga, alafu anaiingiza ndani?
 
Wewe na Bibi mlikutana wap??

Naamini Bibi ndio alikuwa wakwanza hukucheza cheza saanaa kabla
Nilim-spot tangu akiwa shuleni.

Nilipoanza Chuo kikuu, nikawa narudi Kijijini kuangalia maendeleo yake bila yeye kujua hadi alipomaliza Masomo yake.

Wazee wanilisaidia kukamilisha mchakato.

Bahati nzuri, miaka ile ukimpata Mke anakuwa sealed kabisa sio kama miaka hii.

Wewe ndiyo Mwanaume wake wa kwanza kumwanzishia njia 🤗
 
Mwanaume huyo wanamuita Simp.
 
Nakupa Hongera huku naogopa huenda ni chai kama yule mwenzio sijui miss natafutwa sijui nani yule alisemaga hivihivi haukupita mwezi akaja kulia tena hapa,..

Hongera kwa kupata Mume
 
Hatari sana unaambiwa Michael Jackson and the boys are you fine with me and you can do it for me and you can do it on the weekend and then I can do it
 
Hong
Hongera mimi namuomba Mungu anipe mume sahihi
 
Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi,

Lakini ni bahati pia wadau kukutajia ndoa maana kuna watu wanakutana na mauza uza tuu yaan wanaume wanaokutana nao hamna hata mmoja anasema ndoa.

Kapachino Kama sema neno bwana twende songea huko tupeleke mahari,
Innallah maswabrinah;; Hahaha makete-njombe kwa kina sanga utafika tu we mzee wa hall v.

Lamomy hawezi nitupa, nimetoka mbali naye toka mtoto akiwa winga kkoo.
 
😹😹😹 Chino yule nikisema ndio chap anawahi kuchukua mzigo..!!

Ila nimecheka sana 🤣
Unajua Sumbai mi ndoa siipi kipaumbele sijui kwann?? Yani mwanaume akinitajia ndoa huwa namsonya kimoyo moyo..!!
Kabali yake chino
 

Safi mkuuu. Hv miaka yanyuma vijana mlikuwa mnatoa wapi mbususu?? Maana mabinti wengi walikuwa wanaolewa wakiwa sealed...

Mlikuwa wazembe au midomo zege??

Innallah maswabrinah;; Hahaha makete-njombe kwa kina sanga utafika tu we mzee wa hall v.

Lamomy hawezi nitupa, nimetoka mbali naye toka mtoto akiwa winga kkoo.
Safi kabisa. Tunaenda kupambana na hiyo baridi ya huko makete.

Sherehe tunayo.

Lamomy
 
Jamal alikuwa last option tu...
 
Safi mkuuu. Hv miaka yanyuma vijana mlikuwa mnatoa wapi mbususu?? Maana mabinti wengi walikuwa wanaolewa wakiwa sealed...

Mlikuwa wazembe au midomo zege??
Kusema kweli, tuliishia kucheza nao muziki ama mtoko wa Jioni lakini sio kula mbususu zao.

Mbususu ilikuwa tunakula baada ya Ndoa.

Unajua miaka ya nyuma, kumuoa Mke bikra ilikuwa inaongeza heshima Kwa familia ya Mume na Mke pia

Ni fahari Kuoa binti asiyemjua Mwanaume, kwahiyo hata mahari ilikuwa inalipwa nyingi.

Mke asiyemjua Mwanaume, ilikuwa sio rahisi kukengeuka. Anakuwa anaweza kumvumilia Mume hata kama amerudi nyumbani mikono tupu, atakoroga Uji atakunywa na mumewe, na Jioni kama kawaida lazima ampe mumewe mechi ya kibabe ili kumuondolea Mume mawazo/hasira za kukosa hela
 
Duh kwaiyo tuassume ulikuja kupata mume wa ndoa ata 35 au 40s hivi... Huyo mwana nae atakua alipitia mengi sana kama ww.

Pole na hongera pia. Hili liwe fundisho kwa wanawake wengine. Maisha ya fahari yapo tu, huwa hayaishi na huwa hayadumu.
 
😂😂😂😂😂

Ilikuwa njema kabisa. Hivi SASA inabidi Kama Baba nianze ujasusi kufatilia familia za mabinti waliojitunza mwanangu aoe...

Au ndio watoto watatuona Sisi wakuda....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…