Safari Yangu ya Mapenzi: Kutapeliwa, Kuchezewa, na Hatimaye Kupata Mume wa KwelI.

Bora njia hiyo unaweza kupata Mke mzuri kuliko hizi njia zenu za kisasa

Unapata mchumba ametumika Kwa Kila njia, hadi ukimwoa na kumweka ndani inakuwa kama umebeba bomu ambalo linasubiri kulipuka

Lakini utakubaliana na mimi kua bado ni kubahatisha tu.

Yani Mtoto asome Chuo UDSM, arudi kwao Mbeya akae kae pale mwaka mmoja akijifanya mwana kwaya kanisani, ndo baba yako akuoigie simu kuna bint mtulivu huku parokiani njoo uoe. Anajuaje nyenendo zake za chuo? Atajuaje kama ni bikra au sio bikra kama hajamnyandua?

Hii approach labda kijijini ambapo watu wanaishi kijamaa, Lakini mjini mtatafutiana watu wa kulaumu tu ndoa zenu zikifa.
 
Ila Kwa nyakati za sasa inakuwa Mtihani sana

Sisi wengine tulibahatika miaka ile mabinti wanajiheshimu, sio kama sasa
 
wewe yanakuhusu nini mambo ya huyo dada,kumchokonoa kote huko kwani dada yako?
Unajiabisha we kijeba, hii ni public forum kaandika na anategemea replies! Kuna kuaga na zile "Women only" hapo sichangii sina kiherehere hiko mzee.
 
Unajiabisha we kijeba, hii ni public forum kaandika na anategemea replies! Kuna kuaga na zile "Women only" hapo sichangii sina kiherehere hiko mzee.
what kind of replies ndugu? pia jifunze staha ya kuongea na kuandika itakusaidia maishani mwako
 
hongera safari yako haikua mbaya sana wenzio wanachapikaa sana
 
Humuonei huruma huyo jamal kwa kumuuzia spare used, tena used kweli kweli.
 
Je, wanawake wengi wanapitia safari kama hii ya mahusiano yenye changamoto kabla ya kupata mume wa kweli?
Shukuru Mungu wewe umeishia episode 3 na kupata committed relationship, kuna wenzako wapo episode ya 21 na bado hakuna mwanga!!
 
Kazi ya AI. Siku hizi inatumika hadi kutungia hadithi.
 
Shukuru Mungu wewe umeishia episode 3 na kupata committed relationship, kuna wenzako wapo episode ya 21 na bado hakuna mwanga!!
Siku hizi ukitaka kuoa heri usichimbue sana history ya huyo mwanamke unayetaka kumuwowa, kwa maana utaishia kuhuzunika na kua broke tu hasa kama ulikua ushazama..

Kuna mdau hapo kasema eti sasa hivi ukitaka kuoa angalia sijui wa 18-22 hii utakua unajidanganya tu, hawa wa ages hiyo ndiyo wanakandwa sana huko mtaani sio kitoto na ndiyo screpa za baadae, na ambao hamjaoa ndiyo mtaoa hao hao [emoji1][emoji23] kikubwa utatafuta yenye afadhali ambayo hata mashavu yapo yapo kidogo kwa mbali hayaja kandwa sana na vijana wa hovyo..
 
Kuna senge huko nimeona linasema ety ahudumiwe na mshangazi, umekaa na nywele zako mwili mzima ukisubiri mshangazi aje akuhudumie ili umle, huku hutaki kuoa used, ******* hayatakuja kuisha mpka moto mwingine uje cc cocastic
 
Ila wewee, 😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…