Safari za Maulid Kitenge Marekani

Safari za Maulid Kitenge Marekani

Mmoja kati ya wake zake ambaye alikuwa anafanya kazi Umoja wa Mataifa nchini Sudan, amerudi Marekani, hivyo huwa anakwenda kwa mkewe. Alikuwa na watatu now ana wawili baada Eshe Muhidi anayefanya kazi TBC kuachana nae
 
Mmoja kati ya wake zake ambaye alikuwa anafanya kazi Umoja wa Mataifa nchini Sudan, amerudi Marekani, hivyo huwa anakwenda kwa mkewe. Alikuwa na watatu now ana wawili baada Eshe Muhidi anayefanya kazi TBC kuachana nae
Duh..... alafu amempeleka na oska oska

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Aina ya threads ambazo watu wasio na hela huwa wanaandika...

Kama unataka kujua jinsi ya kufika huko ingia website ya ubalozi wa US au travel.state utaambiwa namna ya kufika USA (usisahau kuchanja)
 
Hivi huyu mwamba huwa ana makazi huko? Au anafanya biashara gani huko kwa Joe Biden? Maana kwa mwaka mmoja anaweza kwenda Marekani hata mara nne au tano! Juzi tu hapa kabeba familia nzima kwenda nayo huko akiwemo mama yake mzazi. Jamaa yuko vizuri!

NB:
Mapovu pelekeni mkafulie

View attachment 2053182
Long-time kidogo nilikuwa na demu ITV n.a. Radio 1 Jina linaanza na SM akifanya kazi hapo Kitenge alikuwa connection ya demu mzungu na alikuwa na demu pia mfanyakazi mwenza palepale.

Lesbian pia walikuwepo hata huyo ashapelekewa moto na lesbian. Demu wa nyumbii bombii
 
Muacheni kocha mchezaji, mshambuliaji mwenye jezi namba 9 mgongoni🐒
20211225_103443.jpg
 
Back
Top Bottom