Safari za treni Dar - Arusha kuanza Oktoba 2, 2020

Safari za treni Dar - Arusha kuanza Oktoba 2, 2020

Tanzania Railways Corp

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
251
Reaction score
595
TANGAZO ARUSHA 3.jpg
 
Wooohhh, hii ni habari njema sana. Sasa nyie TRCMPYA, tupatieni ratiba kamili na viwango vya nauli kwa madaraja. 💪💪
 
Can't wait kwakweli, hii taarifa imefanya siku yangu iwe nzuri sana

I second your desire kwa kweli Loohh!! Sipati picha uko kwa sleeping class, then sometime uko zako buffet unaenjoy na wananchi kibao tu... it'll be an awesome trip hakika.
 
I second your desire kwa kweli Loohh!! Sipati picha uko kwa sleeping class, then sometime uko zako buffet unaenjoy na wananchi kibao tu... it'll be an awesome trip hakika.
Acha kabisa 😂 Tena ikiwa safari ya usiku ni nzuri, unafika asubuh unapitiliza kwenye mishe zako
 
kutokea Tanga hadi Arusha nauli yake ni kiasi gani?
na kutokea Moshi hadi Arusha ni kiasi gani?
 
JPM 5 tenaa,hakika hichi ni chumaaaaa HATIMAYE RELI YA ARUSHA IMEANZA KUTUMIKA TENA BAADA YA ZAID YA MIAKA25.

JPM SI MNAFIKI
JPM SI LIMBUKENI
JPM SI MTU WA TAMAAA
JPM MZALENDO HALISI NDANI YA SERKALI.

UKISIKIA ILE GOOD LEADERSHIP BASI JPM NDO MFANO WA HYO GOOD LEADERSHIP.

WaTZ hasa wapinzani tuacheni unafikir,RAISI HUYU TULIKUA TUNAAMTAJA NA KUMUHITAJI KABLA HAJAINGIA.
tumeongea Sana kuhusu uzembe ktk Utumishi,Ufisadi mkubwa,Nchi kukosa hata ndege,Foleni zilizopitiliza,Viwanda kukosa umeme wa uhakika,Nchi kupunguza kua omba omba ,Machinga kufanya kazi zao Bila bughuza Na Sasa tumetekeleza,Sasa Kuna wanafiki wanapinga,WATZ MNATAKA NN!!!!!!!!

JPM ATOSHA
 
Can't wait kwakweli, hii taarifa imefanya siku yangu iwe nzuri sana

Yaani ni VIBE kama loote vile, ngayii..🎼🎹🎤🎻🎸🎺🎷🍾🥃🍺🍻🍡🍢🔥🔥👖👙👗💑
 
Attachments

  • VID-20200929-WA0029[1].mp4
    13.2 MB
Back
Top Bottom