Safari za treni Dar - Arusha kuanza Oktoba 2, 2020

Wooohhh, hii ni habari njema sana. Sasa nyie TRCMPYA, tupatieni ratiba kamili na viwango vya nauli kwa madaraja. πŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Can't wait kwakweli, hii taarifa imefanya siku yangu iwe nzuri sana

I second your desire kwa kweli Loohh!! Sipati picha uko kwa sleeping class, then sometime uko zako buffet unaenjoy na wananchi kibao tu... it'll be an awesome trip hakika.
 
I second your desire kwa kweli Loohh!! Sipati picha uko kwa sleeping class, then sometime uko zako buffet unaenjoy na wananchi kibao tu... it'll be an awesome trip hakika.
Acha kabisa πŸ˜‚ Tena ikiwa safari ya usiku ni nzuri, unafika asubuh unapitiliza kwenye mishe zako
 
Acha kabisa πŸ˜‚ Tena ikiwa safari ya usiku ni nzuri, unafika asubuh unapitiliza kwenye mishe zako

Yaani, you said it all.. Inakuwa kama umeamka nao R chuga town..πŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
kutokea Tanga hadi Arusha nauli yake ni kiasi gani?
na kutokea Moshi hadi Arusha ni kiasi gani?
 
JPM 5 tenaa,hakika hichi ni chumaaaaa HATIMAYE RELI YA ARUSHA IMEANZA KUTUMIKA TENA BAADA YA ZAID YA MIAKA25.

JPM SI MNAFIKI
JPM SI LIMBUKENI
JPM SI MTU WA TAMAAA
JPM MZALENDO HALISI NDANI YA SERKALI.

UKISIKIA ILE GOOD LEADERSHIP BASI JPM NDO MFANO WA HYO GOOD LEADERSHIP.

WaTZ hasa wapinzani tuacheni unafikir,RAISI HUYU TULIKUA TUNAAMTAJA NA KUMUHITAJI KABLA HAJAINGIA.
tumeongea Sana kuhusu uzembe ktk Utumishi,Ufisadi mkubwa,Nchi kukosa hata ndege,Foleni zilizopitiliza,Viwanda kukosa umeme wa uhakika,Nchi kupunguza kua omba omba ,Machinga kufanya kazi zao Bila bughuza Na Sasa tumetekeleza,Sasa Kuna wanafiki wanapinga,WATZ MNATAKA NN!!!!!!!!

JPM ATOSHA
 
Can't wait kwakweli, hii taarifa imefanya siku yangu iwe nzuri sana

Yaani ni VIBE kama loote vile, ngayii..🎼🎹🎀🎻🎸🎺🎷🍾πŸ₯ƒπŸΊπŸ»πŸ‘🍒πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘–πŸ‘™πŸ‘—πŸ’‘
 
Attachments

  • VID-20200929-WA0029[1].mp4
    13.2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…