Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Siku hizi amekuwa na maneno kama miss BonyokwaNdugai aka Ebola anasema SGR ni Sawa na kufunga tera la ng'ombe mbele ya ng'ombe badala ya kulifunga nyumba! (kweli watanzania ni wapole Sana, nchi nyingine leo bungeni pasingekalika kwa maandamano)