Poleeee😂Habar za mudahuu ndugu zangu,..nipo safarini from dar to Arusha na bus la BM T817 DY.. ila safar naiona imepoa mnooo,..Mana hapa nimekaa na Bibi mtu mzima..amelala tangu mwanzo wa Safari pale shekilango had Sasa tupo mkata....
Kiukweli ni full michosho,..TV zao nazo hazieleweki zinapga nyimbo za kidwanz balaaa...no usingiz no vaibu..inshort next tym sitorudia makosa...
Kaz iendelee ,..
😂😂😂Akianza kukoroma ulete updates tusogeze VAR za Azam
Toka naye kitaa msafiri wote.Habar za mudahuu ndugu zangu,..nipo safarini from dar to Arusha na bus la BM T817 DY.. ila safar naiona imepoa mnooo,..Mana hapa nimekaa na Bibi mtu mzima..amelala tangu mwanzo wa Safari pale shekilango had Sasa tupo mkata....
Kiukweli ni full michosho,..TV zao nazo hazieleweki zinapga nyimbo za kidwanz balaaa...no usingiz no vaibu..inshort next tym sitorudia makosa...
Kaz iendelee ,..
Dah,.next time hili ntalifanyia kazi...pisi kali wamekaa wawil kwny siti za nyuma yangu nataman nimwambie mmoj ahamie nlipo na Mimi nirud siti yakeSiku nyingine ongea na konda, umpe buku Mbili ni ama atakuweka kwenye siti ambazo Kuna pisi Kali.
Ama atakuletea Pisikali.
Lkn mbona fresh tuu me nimesafiri hadi green city,nimekaa na watu wa nne tofauti tofaut na nime vibe nao wote fresh Tena rika kunizidiNashkuru ndg yangu
NAKAZIA HAPA.Utoto raha sana