mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,034
- 4,792
Habari za muda huu ndugu zangu,
Nipo safarini kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha na basi la BM T817 DY. Safari inaonekana kuwa ya kawaida sana, maana hapa nimekaa na bibi mtu mzima ambaye amelala tangu mwanzo wa safari pale Shekilango hadi sasa tupo Mkata.
Kiukweli, ni full michosho. TV zao nazo hazieleweki, zinapiga nyimbo za kidwanzi balaaa. Hakuna usingizi, hakuna vibe. Kwa ufupi, safari ijayo sitarudia makosa haya.
Kazi iendelee, mitano tena kwa mama...