Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchungu nilioupata hapa hata kuchangia nimeshindwa.
Mkuu Mtambuzi, I like your analysis
Hivi na siye wanaume tunakuwaga na GHUBU?
lakini yataka moyo si kidogo!kuogopa kupigania kilicho chako is it easy na sisi ni binadamu? Nakubali hata wake wanachangia kumshawishi mume kutafuta pumziko. Shida ni kitchen party zisivyo na tija katika kumuandaa binti.
Sweetie... kuna member hapo juu anauliza hapo....
tena usiombe kushuhudia gubu la mwanaume, huwa linakera coz huwezi kuwalk away kama yeye , mwanamke ukiwa na gubu, mume anaweza kukuepuka kwa kuchelewa kuja, akirudi kalewa unaongea yeye anajilalia zake, asubuhi kaondoka, sasa yeye akiwa nalo, unadeal nalo mwanzo mwisho, ataongea weeeeee na madharau juu, nimeshuhudia ndugu wenye waume wenye gubu mmoja ameshindwa kajiondokeaMkuu Mtambuzi, I like your analysis
Hivi na siye wanaume tunakuwaga na GHUBU?
Mkuu Mtambuzi, I like your analysis
Hivi na siye wanaume tunakuwaga na GHUBU?
yes, so loudlaiti wanawake wangejua....
Hakuna kitu kinachotisha kama mwanamke anapokaa kimya kabisa
huku unajua umemtendea visivyo.....
Her silence speaks so loud.....