Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
- Thread starter
- #21
Hio ndio mbaya zaidi. Hakuna pesa pale. Kampuni saba zinagombania watu wale wale. Kheri niende mahali ambapo kuna kampuni moja tu kama Ethiopia ambapo 40% pekee wana simu ya rununu. Safaricom ina opportunity kubwa ya kuteka soko hilo kwa sababu kuna watu wengi ambao hawana simu ya rununu. Sisi nyang'au tunatumia akili hatukurupuki kama nyie.Hahahaha, hujui kwamba ukiwa na kampuni nyingi "compition" inaongezeka hivyo gharama za mitandao ndio inashuka?, Pia wateja wanakua na "more choices".