Safaricom Kenya yaomba ulinzi kwa Serikali. Ni baada ya Starlink kushusha bei hadi Tsh. 26,000/= kwa GB 50

NDio maana walipigwa figisu hapa bongo maana wanajua mziki wa Elion. By the way Majaliwa anamiliki hisa za vodacom.
 
100 unapata 490Mb kwa saa 24
 
Monopolies ni tatizo, zinatapeli wananchi.

Kampuni moja kumiliki asilimia kubwa ya soko haijawahi kuwa salama.

Israel wananchi walikuwa wanalalamika sana internet ni ghali, akaja huyo waziri mmoja akalegeza masharti ya kuanzisha ISPs, washindani wakawa wengi, bei zikashuka.

Kuna nchi zilizoendelea zina internet nafuu kuliko sisi yaani.
 
Israel ndio nchi inayoongoza kwa Internet ya bei ya chini duniani.
 
Siku Starlink wakiruhusiwa, nitafanya sherehe kubwa sana. Hii mitandao wananinyanyasa sana kwende bundle za internet. Naomba sana siku hiyo ifike
 
Huo wito wa Safaricom ni wito wa kijinga katika biashara huria. Ruto na serikali yake nitawaona ni wajinga ikiwa wito huo wataufanyia kazi.
Kwanini safaricom naye asishuke bei vifurushi vyake ili kuhimili ushindani?
 

Safi sana Elon ,Operator wamenufaika sana ni wakati na TZ wamlete ELon .NEPI kala mlungula kaipiga chini ,sasa sijui wkanini walimkataa Elon na sababu sizizo na msingi...kwani google/Twita wana ofc TZ?
 
Huo wito wa Safaricom ni wito wa kijinga katika biashara huria. Ruto na serikali yake nitawaona ni wajinga ikiwa wito huo wataufanyia kazi.
Kwanini safaricom naye asishuke bei vifurushi vyake ili kuhimili ushindani?

Yes inabidi wapambane ,mbona zamani ilikuwa ukipiga simu tu hata ukiongea sekunde 10 unalimwa bei ya dakika nzima ila alivyokuja tigo aka introduce sekunde ma-operator wengine ikabidi nao wamuige tigo ,hiyo ndiyo biashara inabidi Safaricom ,MTN nao washidane na starlink.
 
Hivi ukikaa pale Mpakani Namanga huwezi kuinjoi hii huduma ya Bwana Elon Musk ili tuwakimbie hawa mabepari yetu yanayolindwa na TCRA
Hata ukiwa hapa Tanzania unaweza kuunganisha hiyo Starlink na ukatumia fresh tu, na tayari kuna watu wanatumia starlink hapa Tz. Ni kinyume cha kisheria za Tz lakini nani anajali ikiwa sheria zenyewe ni kandamizi.
 
Japo tunaona elfu 50 kwa GB45 Kenya ni kubwa(Kenya 1GB ni around Tsh 950) ila kwa TZ ,1GB NI Tsh 2100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…