Safaricom Kenya yaomba ulinzi kwa Serikali. Ni baada ya Starlink kushusha bei hadi Tsh. 26,000/= kwa GB 50

Nimejiunga GB moja za week jana Tsh 2500....sahv imeisha nimejiunga mb 250 za jero ndio nipo namalizia nazo siku.
Kwa hiyo Tsh. 3,000 kwa hii plan mpya ya Starlink ya Tsh. 400 per GB ungekuwa umejizolea GB 7.5 za kutumika mwezi mzima

Hapo ndo uone jinsi tunavyokamuliwa na hawa kina Rostam Aziz
 
Mafisadi wanaotunyonya hapa Tz hawatakubali hiišŸ˜†šŸ˜†
 
Kwa hiyo Tsh. 3,000 kwa hii plan mpya ya Starlink ya Tsh. 400 per GB ungekuwa umejizolea GB 7.5 za kutumika mwezi mzima

Hapo ndo uone jinsi tunavyokamuliwa na hawa kina Rostam Aziz
Hahaha......ndio maana hawabanduki ubavuni mwa mama.
 
Kwani si ndiyo maana Starlink walifanyiwa mizengwe na serikali kuja kutoa huduma yao Tanzania.

Wakati Starlink ilipoamua kuja na pilot plan yake ya kuja offer cheap accessible internet services Afrika, Tanzania ilikuwa ni moja ya nchi ambayo illiichagua iwe kwenye mpango wa majaribio kwa kutoa huduma ya intenet bure (au affordable prices). Nchi zilichaguliwa katika pilot plan yao ilikuwa ni Tanzania, Ethiopia, Rwanda na Mozambique.

Kilichotokea makampuni ya simu ya Tanzania kwa kushirikiana na serikali waliwekea mizengwe mingi sana kampuni hili la Starlink. Ikumbukwe kuwa wakati onwer wa kampuni hii ya Starlink (amabaye ni tajiri billioner na mmiliki wa mtandao wa X 'zamani ukujulimana kama Tweeter") nia yake ilikuwa ni kuinganisha Dunia nzima kwa internet mpaka vijijoini hususan katika bara la Afrika. Na alichagua nchi nilizizitaja ikiwemo Tanzania kama sehemu ya mpango wake wa majaribio yaani "Pilot plan". Kumbuka wao intenet yao inatumia setellite ambayo ni ya tajiri Elon Musk (sio ile ya mkongo wa baharini)

Kilichotokea: Pamoja na mizengwe mingi waliyopewa Starlink ni pamoja na kutakiwa kufungua phiysical office yao hapo Dar, Tanzania. Na argument ya Starlink ilikuwa sisi tunatoa internet for free kwa watu wa mpaka vijijini kama sehemu ya mpango ya internetwa kuunganisha huduma ya internet kwa watu wote haswa wenye maisha ya chini. Wakaongeza hawezi kuweka office kwa ajili ya kupunguza operating costs. Tanzania ilkuja na sababu nyingi, nyingine ziikidai ni za Ki -usalama na Starlink wakasema isiwe tabu nafasi ya Tanzania ikapewa Kenya.

Kama nilivyosema awali Starlink inamilikiwa na tajiri Elon Musk ambaye ndiye mwenye setellite inayo offer huduma hiyo ya internet via satellite system. Project hii ya kimkakati Starlink tayari imeonyesha mafanikio makubwa mno katika offer huduma kwa bei rahisi mno na kwa watu wa kawaida mno katika nchi zote zilizokubali kuingia katika mpango wake wa majaribio (ukiichalia mbali Tanzania iliyojitoa na kuungana na makampuni nyonyaji ya kigeni kunyonya wananchi wake wenyewe,)


My two cents contribution.
 
Anayetakiwa kulindwa ni mteja sio safaricom, ushindani siku zote nafuu kwa mteja. Ahsante Starlink..
Kazi ishaanza, safaricom kaongeza speed za vifurushi vyao vya fiber Ili kushindana na starlink🤣

New speeds for Safaricom Wi-Fi​

Safaricom listed the speed changes as shown below:

  • Bronze package, from 10Mbps to 15Mbps
  • Silver, from 20Mbps to 30Mbps
  • Gold, from 40Mbps to 80Mbps
  • Diamond, from 100Mbps to 500Mbps
The increase in Safaricom's internet speeds positions the company to better compete with Starlink, which offers unlimited broadband internet plans with speeds of up to 100Mbps.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…