Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Kama ilivyo kwa kampuni nyingi za simu kujiemdesha kwa unyonyaji, Safaricom Kenya wamepata cha mtema kuni baada ya Elon Musk kuanza kutoa huduma nchini humo na wateja wengi kukimbilia Starlink.
Hii inakuja baada ya kuwa na mkopo wa kifaa kwa wasioweza kukinunua moja kwa moja.
Mapema Safaricom wameanza kupiga kelele zikiashiria wanataka Starlink iondoke Kenya wakidai Serikali haina uthibiti juu ya Starlink hivyo inahatarisha usalama wa kimtandao.
Kwa hapa kwetu Tanzania tusitegemee sana Starlink kuja kwani sharti walilowapa la kuweka ofisi ni gumu kulingana na utendaji wake.
Lakini pia viongozi wengi ni wawekezaji katika haya makampuni hivyo ili kulinda maslahi yao watapiga vita vya nyuklia kuja kwa Starlink.
Nanunuu, " Mtasubiri starlink haiji leo wala kesho". Hayo ni maneno ya mtumishi wa TCRA ngazi ya juu kabisa nilipokuwa nikipiga nae story na kujikuta nimesema intanet ya Starlink iko poa sana ikifika Tanzania tutakula maisha.
Iko hivi, serikali ya Tanzania ni miongozi mwa serikali wanataka hata ukituma meseji kwa mpenzi wako waone.
Na wanafanya hivyo sio kwa sabahu za kiusalama bali wanatafuta wapinga kristo wawapoteze.