and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Sasa hio 250k unapata 5G kwa starlink pasipo hayo manyaya ya fiber.![]()
kwa voda
Nikihama nahama na dish langu.
Kuset hauhitaji fundi, dish linajiset lenyewe.
Hizo fiber huwa naona taabu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hio 250k unapata 5G kwa starlink pasipo hayo manyaya ya fiber.![]()
kwa voda
ni 200mbps so unagawanya kwa 8, kwa speed ya download tuliyoizoea ni 12.5MBps.Hiyo 50 na 200 Mbps zina fika kweli hiyo per second.
Au ni mbwembwe mkuu??
Nadhani hizo dish za starlink zipo connected na satellite, starlink satellite zake ndizo zipo kwenye low orbit kuliko zingine zote.ingia link niliyoweka upime mwenyewe ping, kwa africa ping ya 25ms unaipata Nigeria tu sababu wao ndio wana ground station Africa, ina maana tz ukitumia kitu kinarushwa na Satelite hadi usawa na Nigeria then kinashushwa chini ndio kinaingia kwenye fiber, huo muda wakurusha toka hapa hadi nigeria ndio huio 100ms+ inayoongezeka.
Asante kwa ufafanuzi, acha niendelee kutazama documentary.ni 200mbps so unagawanya kwa 8, kwa speed ya download tuliyoizoea ni 12.5MBps.
huwa fiber haina longolongo unaipata exactly hivyo.
starlink yenyewe inatumia fiber, hizo satelite lazima zishushe mzigo kwenye fiber, so hayo "mawaya" yana faida yake ikiwemo hiyo ping, kama huna matumizi ya ping kama kucheza games online, kuangalia mpira etc huwezi elewa.Sasa hio 250k unapata 5G kwa starlink pasipo hayo manyaya ya fiber.
Nikihama nahama na dish langu.
Kuset hauhitaji fundi, dish linajiset lenyewe.
Hizo fiber huwa naona taabu tu.
mfano wewe una starlink umepost hii post na mimi nimeiona, je unafikiri starlink satelite zake zimemulika hii computer yangu ama kuna ground station somewhere ili data ziingie kwenye mfumo wa dunia?Nadhani hizo dish za starlink zipo connected na satellite, starlink satellite zake ndizo zipo kwenye low orbit kuliko zingine zote.
Ni kama satellite phone , sidhani kama zinarusha kuelekea Nigeria.
Starlink inatumiaje fiber, hapa nyumbani nina modem simu ya zamani sana inatumia satellite na ina antenna, antenna yake imeandikwa "stay away 10 meters" ni ya miaka ya early 2000s mzee aliitumia ku access internet, ina kitabu chake kikubwa kina maelezo yote namna ya kutumia na ku connect na computer.starlink yenyewe inatumia fiber, hizo satelite lazima zishushe mzigo kwenye fiber, so hayo "mawaya" yana faida yake ikiwemo hiyo ping, kama huna matumizi ya ping kama kucheza games online, kuangalia mpira etc huwezi elewa.
pia starlink unatumia eneo moja tu, ukihama hama ina kifurushi chake bei ghali. na usipotoa taarifa unawekwa kwenye low priority speed inapungua.
Hilo nalielewa kiongozi, satellite lazima iwasiliane na antenna, satellite ni kama access point tu.mfano wewe una starlink umepost hii post na mimi nimeiona, je unafikiri starlink satelite zake zimemulika hii computer yangu ama kuna ground station somewhere ili data ziingie kwenye mfumo wa dunia?
data haziwezi kaa angani kwenye satelite muda wote lazima zishuke ardhini kwanza, hapa ardhini ndio zinaunganishwa na fiber networks. jinsi ulivyo karibu na ground station yao ndio jinsi unavyopata ping nzuri
Wana antenna za kwenye magari kama haya mabasi, unatembea huku internet access unapata hata kama gari ipo 100km/hr.starlink yenyewe inatumia fiber, hizo satelite lazima zishushe mzigo kwenye fiber, so hayo "mawaya" yana faida yake ikiwemo hiyo ping, kama huna matumizi ya ping kama kucheza games online, kuangalia mpira etc huwezi elewa.
pia starlink unatumia eneo moja tu, ukihama hama ina kifurushi chake bei ghali. na usipotoa taarifa unawekwa kwenye low priority speed inapungua.
Starlink inatumiaje fiber, hapa nyumbani nina modem simu ya zamani sana inatumia satellite na ina antenna, antenna yake imeandikwa "stay away 10 meters" ni ya miaka ya early 2000s mzee aliitumia ku access internet, ina kitabu chake kikubwa kina maelezo yote namna ya kutumia na ku connect na computer.
Hakuna fiber ni direct inaonana na satelite sasa hilo la fiber sijajua, hio fiber inaelekea wapi.
Hizi tech ni za muda, starlink wamekuja boresha tu, lakini binafsi satellite internet nimetumia sana.
Sasa hio fiber inakwenda wapi?
Kutumia station chini hio ni lazima, hio station si lazima iwe Tanzania na hapo ndipo satellite inakuwa ya muhimu zaidi.![]()
umeona huu? unaitwa mkonga wa taifa, mitandao yote ya simu na internet imeunganishwa hapo. mtu yoyote ambaye yupo Tanzania akituma ama kupokea kitu chochote kupitia internet basi lazima kipitie hapo.
assume mtu yupo Misri ama Australia ama USA anatumia Starlink anakutumiA file kwa internet litakufikia vipi?
1. file litatoka kwenye kifaa chake hadi satelite ya starlink,
2. satelite ya starlink itatuma lile file kwenye satelite ya karibu na ground station
3. satelite ya karibu itatuma file kwenye ground station
4. ground station itaunganisha na inter sea fiber cable
5. inter sea fiber cable itaunganisha na mkonga wa taifa
6. mkonga wa taifa unakuunganisha na mtandao wako ili upokee file. vice versa is true kama na wewe unatuma file kwa mtu wa starlink.
so hata hio modem yako ya zamani ya satelite somewhere ilikua inaunganisha na waya, zamani hazikua fiber zenye kasi kama hizi, walitumia analog shaba zile, ila still point ipo pale pale.
Tulia weweeeCapo delgado?
We acha tu huwa nacheka sana, Maana comouter zote zao, software za usalama zao hatuna hata moja ya kwetu halafu eti na sie tunalinda usalama 😂😂😂, wanatuonaga kama wananchi hatujielewi vile.Tanzania nayo wanakuambia wana hofu na usalama, hiki mbona kichekesho.
Usigoogle bei za Marekani uje udanganye hapa, kila sehemu kuna bei yake. KSH 6500 sawa na USD 50 sawa na 136,000 TZS unapata up to 200Mbps unlimited. Bongo 110,000 unapata 30Mbps huoni kama ni utapeli. Mi natumia unlimited ya Airtel Kwingine hiyo bei ya 110,000 wanaishia 20Mbps.hela nyingi mnoo $ 120 kwa volume
We muda wote una ban si bora uachane na huu mtandao tuHuu sio UONGO ni ukweli mtupu