hapana, mimi zuku nalipia 69,000 ukilipia ontime bila kukatiwa miezi 3 wana double ama quadruple speed
View attachment 3083880
umeona ping yangu hapo 3ms? hio speed ni bora mara 40 compare na 125ms ya starlink, itanizidi download speed hio starlink ila i will never trade that ping.
huko Ulaya na Marekani starlink ni internet za watu wa vijijini ambao internet za kisasa kama fiber hazijawafikia.
pia ukitaka download speed ya starlink 50-150mbps kibongo bongo unapata kuanzia 120,000-250,000 kutegemea na mtandao,mingine unapata speed zaidi, mfano voda fiber yao 250,000 wanakupa 200mbps upload na download, Halotel na Tigo pia fiber zao bei nzuri, same to raha.