Safaricom wazindua uwezo wa kupokea hela kwenye Mpesa kutokea Paypal

Safaricom wazindua uwezo wa kupokea hela kwenye Mpesa kutokea Paypal

wakuu vipi kuhusu vodacom MasterCard naweza kulink na PayPal account yang
 
Huenda watu wenye taaluma ya pesa Tz ni wachache ndio maana hata meneja wa Vodacom Tz ilitakiwa awe Mkenya tukapiga kelele sijui imekuaje .
 
Tukiendelea Kuongoza Dunia kwenye Mobile banking pia sio mbaya[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Buda hapa itabidi umekubali. Mpesa ni Kenya ilianzisha na kwa sasa Kenya inaongoza kwa Mobile Banking
Tanzania was the first country to offer money transfer over other networks (interoperability). Mijinga inasema tupo nyuma bila utafiti.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anataka kutudanganya Mpesa ilianzia Tz sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uchungu umezidi hadi Umeshindwa kuvumilia ukajlipua kama alshabab😛😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Straight to the point. Uwivu mingi tuwache lakini
Kusema ukweli kuna watu wanaskia uchungu sana kuelewa huu mjadala. Useless denial wakiongozwa na Geza fact ni hakuna mobile operator Tanzania amabayo unaweza tumia kuweka pesa kwa paypal au vice versa. Kelele mingi punguza.
 
hii friday nilitumia mpesa ku topup account yangu ya paypal na kuagizia bidhaa flani online, its was magical
 
Huenda watu wenye taaluma ya pesa Tz ni wachache ndio maana hata meneja wa Vodacom Tz ilitakiwa awe Mkenya tukapiga kelele sijui imekuaje .

Bodi ya Vodacom iliona mbali na kufanya uchunguzi, tatizo mkaingiwa na mihemko ya chuki na majungu na kusahau hizi taalum huendeshwa kwa kutumia akili.
 
Bodi ya Vodacom iliona mbali na kufanya uchunguzi, tatizo mkaingiwa na mihemko ya chuki na majungu na kusahau hizi taalum huendeshwa kwa kutumia akili.
Shidaniregulation!
 
Back
Top Bottom