Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,723
- 7,408
Not at allTanzania tupo nyuma kwenye kila kitu when it comes to technology.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not at allTanzania tupo nyuma kwenye kila kitu when it comes to technology.
Tanzania was the first country to offer money transfer over other networks (interoperability). Mijinga inasema tupo nyuma bila utafiti.
Uchungu umezidi hadi Umeshindwa kuvumilia ukajlipua kama alshabab😛😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Kusema ukweli kuna watu wanaskia uchungu sana kuelewa huu mjadala. Useless denial wakiongozwa na Geza fact ni hakuna mobile operator Tanzania amabayo unaweza tumia kuweka pesa kwa paypal au vice versa. Kelele mingi punguza.
Huenda watu wenye taaluma ya pesa Tz ni wachache ndio maana hata meneja wa Vodacom Tz ilitakiwa awe Mkenya tukapiga kelele sijui imekuaje .
Shidaniregulation!Bodi ya Vodacom iliona mbali na kufanya uchunguzi, tatizo mkaingiwa na mihemko ya chuki na majungu na kusahau hizi taalum huendeshwa kwa kutumia akili.