Kenya wanaNimeishi kenya miaka mitano. Hakuna tofauti kubwa sana ya kimaisha kati ya kenya na Tanzania.
Tanzania uchumi wake haujulikani vzr kwa sababu mambo mengi ya kimaendeleo na kiuchumi yapo nje ya Mfumo unaoeleweka.
Lakin mambo mengine ya hali ya kimaisha, poverty, rushwa, ufisadi nk...mambo ni yale yale nchi zote mbili
Hio ni mtizamo wangu lakini.
3. TelkomNayafahamu mawili, Safaricom na Airtel.
Nimeishia hapo uliposema Urasimu ndogo kuliko Tanzania.Kenya wana
Shule nzuri sana za serikali,
Hospitali bora na nyingi hadi vijijini,
Airports na bandari zenye ufanisi mkubwa.
Urasimu mdogo kulinganisha na Tanzania.
Ubunifu mkubwa wa teknolojia na utoaji huduma.
Urahisi wa kufanya biashara mkubwa
Mzunguko wa pesa mkubwa.
Sitajielekeza kujibu hizo porojo nyingine ila nikujibu hizi mbili tu,Nimeishia hapo uliposema Urasimu ndogo kuliko Tanzania.
Itakuwa huijui kenya wew.
Kwa Africa nzima sidhani kama inakosa top 3 kwa Urasimu na Rushwa. Hata miradi yap mikubwa ya barabara SGR nk kuna upigaji sio wa kawaida.
Au kuna kenya nyingine sio hii.
Hizi tu lipa kwa simu makato hela ya mboga kula na familia kabisa.Vodacom waanzishe pochi la biashara kama ilivyo Safaricom. Kila mtu atumie hiyo Kulipa kwa Mpesa kama ilivyo kenya. Unaweza ishi Nairobi mwezi mzima bila kushika hela ni Kulipa kwa Mpesa tu. Kuanzia Daladala, mama ntilie, bodaboda nk.
Wakianzisha hiyo lazima voda impige chini Safaricom na kurahisisha maisha ya watz kwenye kutafuta chenji na kupunguza magonjwa ya kuambukiza
Huduma za simu upande upi mobile money, coverage, mobile data cost, broadband internet speed?Sasa kwa nini huduma za simu Tanzania sio nzuri kama Kenya ?!
Lack of competition.... ni hilo tuMoja ya Sababu ya Safaricom kufanya vizuri katika huduma yao ya M-PESA ni sera nzuri ya Benki kuu ya Kenya, mfano halisi ni rahisi kuintergrate malipo na online wallet kuliko ilivyo kwa M-pesa Tanzania.
Nina mwaka wa tatu huu nipo Bongo ila natumia M-pesa Kenya kwenye international money transfers.
BOT wana restrictions kibao ambazo ki uhalisia zinafanya huduma ya pesa kimataifa ya mitandao ya simu kutoweza kuwa flexible.
Mkuu vipi baada ya makato kama kodi wanabaki na faida ya dollars ngapi?Wiki hii kampuni ya simu ya Safaricom ya Kenya imefikisha mapato ya dollar bilioni 1.07 kwa mwaka na kuifanya kampuni ya kwanza katika ukanda wa Africa Mashariki kufikisha na kupita kiwango cha mapato ya dollar bilioni kwa mwaka.
Hii nayo ni point isiyo zungumziwa mdau. Sis bado tupo pale pale, ni lack of vision maybeMoja ya Sababu ya Safaricom kufanya vizuri katika huduma yao ya M-PESA ni sera nzuri ya Benki kuu ya Kenya, mfano halisi ni rahisi kuintergrate malipo na online wallet kuliko ilivyo kwa M-pesa Tanzania.
Nina mwaka wa tatu huu nipo Bongo ila natumia M-pesa Kenya kwenye international money transfers.
BOT wana restrictions kibao ambazo ki uhalisia zinafanya huduma ya pesa kimataifa ya mitandao ya simu kutoweza kuwa flexible.