Safaricom's MPesa Transacted $68 Billion... More Than Tanzania GDP

We know what GDP is. What we are saying is that the volume of Mpesa transaction in Kenya last year was huge, it exceeded Tanzania's GDP.......which is currently estimated at 55$bn by the way.
 
U are wrong. 173 na 172 , sio kwa mamilioni. GDP PPP Haitumiwi kudetermine quality of life ya raia. GDP per capita ndoo inaonyesha hali ya maisha ya wananchi.
GDP PPP NI mambo mengine kanisa.
Haitumiwi na nani, yani sasa mnatupangia cha kutumia kudetermine quality ya life.
 
nyie endeleeni kubishana ila mpesa wanaendelea kufanya yao tu
 
Nimerekebisha isomeke Dolla Billion 164 Kenya na 163 Billion Tanzania.
Sawa, sasa umaelewa GDP PPP ni kigezo cha kupimia thamani ya sarafu za mataifa. Yani hela ya nchi flani ina uwezo wa kununua bidhaa- ama comsumer goods and services kiasi gani ukilinganisha na sarafu ya nchi nyingine.
Kufanya hivyo ni lazma ubadilkshe sarfu hizo into the same unit; na US dollar ndio hupendelewa sana.

Sasa ukichukua tuseme $1, uende Kenya, ubadilishe into the local currency, tuseme unataka kunua mkate na soda. $1 Kenya itaisha hivyo ukinunua hizo bidhaa mbili. Sasa hebu peleka hiyo dollar moja Tanzania na ununue bidhaa hizo hizo. Pengine hata utabakia na balance kidogo. Kumanisha na $1 unaweza ukanunua bidhaa nyingi zakdi Tanzamia kuliko Kenya. Purchasing power parity.
 
Where did I mention that Kenya economy grew at 19%? I dint say that.
Of course you didn't, but you insisted the realisticity of 19% growth rate!

At this point, Kenya faces some setbacks that make that rate unrealistic.
 

We jamaa unavyopenda kuzungumzia pesa za wanaume wenzako. Ukute unaishi kibera. Pole kwa wazazi wako na serikali ya Kenya kwa kuwa na hili twatwa. Idiot.
 
Hahaha Sifa sifa ndugu
 


Hiyo siyo ishu, ishu hapa ni kaisi gani kimekwenda Kenyan Government ili kusaidia Wakenya? Hata kama wakifanya transanctions ya kuzidi UStransanctions economy, lkn Je, kiasi gani kinakwenda kwa Mkenya hilo ndilo ulilopaswa utuletee hapa, usiasahu kwamba Safaricom ni Mzungu Company head quarters London, Uingereza!
 

I can't wait to have this kwanza the wrist band
 
Of course you didn't, but you insisted the realisticity of 19% growth rate!

At this point, Kenya faces some setbacks that make that rate unrealistic.
What is your point of contentention here exactly? I made it clear that economic growth rate of those levels for Kenya are not impossible to achieve, but due to the prevailing challenges it is highly unlikely.
 
Leta shareholding structure hapa kwanza uwache wivu,tuone hio share ya mzungu ni ngapi
 
Nyie wakenya wa Jamii forum mnawaponza wenzenu wanaofanya kz na biashara huku .....
 
Wakati ukipigania kufa mapato ya Safaricom
This is the real Kenya.
 
Msiwasikilize sana ndugu zetu hao...magumashi sana
 
Hapa ndo mnaambiwaga nyie ni wajinga unashindwa tofautisha ksh na usd. Haya tuoneshe hiyo transaction iliomzid mpaka warren buffet iko wapi?


Kabla u comment ufala study this chat

Hapo pa TRILLION SHILLINGS
1TRN KSHS = 10BN $ USD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…