Trafiki wa Kenya sio kama wa TZNipo njiani kulielekea jiji LA Nairobi nchini Kenya kibiashara ni kiri tu ndo mara ya kwanza kwenda nchi hii kibiashara
Tofauti na mara mbili nilizokwenda kwa shughuli nyingine na tulikwenda jumuia
Njia ni Sirari au Isibania
MWENYE UZOEFU NA NJIA HII LAKINI PIA JIJI HILO
Mfano Bidhaa gani MkuuKule ni pa kupeleka bidhaa na sio kutoa kule kuleta huku
Kama nafaka/ mazao kwa ujumlaMfano Bidhaa gani Mkuu
Bidhaa kama simu ni cheap Nairobi kuliko Tanzania, hivyo inalipa kuzifuata hukoKule ni pa kupeleka bidhaa na sio kutoa kule kuleta huku
Bidhaa kama simu ni cheap Nairobi kuliko Tanzania, hivyo inalipa kuzifuata huko
Isilii imetoholewa kutoka Eastleigh. Ni kama vile Kariakoo iliyotokana na Carrier Corps; kambi iliyowekwa pale wakati wa vita vya kwanza ya Ulaya.πUkifika Nairobi. Kama utapata mda nenda Tembelea mji mmoja wa kibiashara apo unaitwa Isilii apo biashara ya Nguo Special kutoka uturuki zinafanyika na bidhaa mbali mbali.
Kwahiyo!!??? Inamsaidiaje hii mleta madaIsilii imetoholewa kutoka Eastleigh. Ni kama vile Kariakoo iliyotokana na Carrier Corps; kambi iliyowekwa pale wakati wa vita vya kwanza ya Ulaya.π