Safarini Yaeda.....

Safarini Yaeda.....

Safari njema mpendwa! Msalimia shangazi pale Harbanghet! Mwambie tangu tumeamia Ayalabe simu haziwezi tena ku "dip!"
 
Ndiyo maana hupatikani, usiku kucha jana nna kudip wapii ! Nikakudipu nakukudipu haudipiki !
Haya basi na usafiri salama.
 
Safari njema mpendwa! Msalimia shangazi pale Harbanghet! Mwambie tangu tumeamia Ayalabe simu haziwezi tena ku "dip!"

Shangazi kaamia Hydom misheni....mdip.....anapatikana.....
 
Ndiyo maana hupatikani, usiku kucha jana nna kudip wapii ! Nikakudipu nakukudipu haudipiki !
Haya basi na usafiri salama.

nipigie kwenye orange shem....ipo hewani.....
 
orait babe.....I won't take buibui again....

I am happy that you understand Preta, and that's why I loves you. But for sure you saw all colours when you took BUIBUI BUS
 
Last edited by a moderator:
uwii.....tuachane......

...Ameeen!.. na iwe kama ulivyosema Preta! Kwenda kwako Yaeda down tu jamaa kaenda kwa mu-7? Je ungeenda Yaeda up? Nivute kwako.....
 
Last edited by a moderator:
Safari njema uncle.............. Nami pia nipo safari basi nililopanda bado sijalisoma jina, ila ina masikio kama ya punda ngoja nitafute jina.

Mungi najua ushafika salama, na ni imani yangu kuwa utarudi salama, ova!
 
Last edited by a moderator:
'SENK YU VERE MACHI' (kwa sasauti ya bibi makinda) salamu nyumbani shostito!
 
...Ameeen!.. na iwe kama ulivyosema Preta! Kwenda kwako Yaeda down tu jamaa kaenda kwa mu-7? Je ungeenda Yaeda up? Nivute kwako.....

huyu mwanaume kanishinda.....kumuacha siwezi.....sijui nifanyeje......
 
Last edited by a moderator:
Safari njema preta! Niletee roshoro na ndisi!
 
...Ameeen!.. na iwe kama ulivyosema Preta! Kwenda kwako Yaeda down tu jamaa kaenda kwa mu-7? Je ungeenda Yaeda up? Nivute kwako.....

unajipasia mwenyewe hadi raha! Angekuwa Chaaazi ungesikia "Mwakalebela kwake Mwakalebela!"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom