Safarini Yaeda.....

Safarini Yaeda.....

....Ndiyo manake Kiongozi! Mzee wa Rula vipi safari yako ya huko Uarabuni ulifika salama? Napaita uarabuni kwa kuwa hata simu huwa zinabadili unajiona kama uko UAE kumbe....

"welcome to United Arab Emirate" hah hah hah!
 
Last edited by a moderator:
Preta don't forget MANGURE sado moja tu mpenzi.
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa nipo safarini kuelekea nyumbani Yaeda....nipo ndani ya basi linaitwa Buibui....lina koroboi juu.....niombeeni nifike salama....nitarudi na nyanyi kausha......kwa atakaependa.....anipe order nitamletea....bure...
hahhahah iyo gari kiboko kha!
 
Wapendwa nipo safarini kuelekea nyumbani Yaeda....nipo ndani ya basi linaitwa Buibui....lina koroboi juu.....niombeeni nifike salama....nitarudi na nyanyi kausha......kwa atakaependa.....anipe order nitamletea....bure...

Si bora ungepanda punda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom