Safi sana Harmonize kwa wimbo mpya wa Wapo

Where is your point ESMA?
 
Ila tuacheni masihara na tuangalie ukweli uko wapi...hata kama nkngelikua mimi Diamond nisingefurahia anachomtendea huyu dogo.

1.Chawa wake H baba na Mwijaku kumtukana na kumkashifu
2.Kuimbwa kwa vijembe mpaka kumtafutia mtu anayefanana nae ili kukuchafua
3.Diamond alipojaza shoo ya kule Sudani ,Harmonize aliandika kwenye ukurasa wake kua anatumia uchawi na anamroga ili ashuke.

Na vingine vingi

Jana Harmonize kamplease Diamond asichukie na ajivunie na mambo mengi wakati huo huo ametoa ngoma inayomponda..ukiangalia mpaka hapo unaona huyu jamaa ni mtu wa aina gani ni mnafki mno atakuponda kukuchafua kisha anasoma upepo akiona haupo upande wake atakusifia hadharani kujikosha..

Diamond ni mswahili nae ana mambo ya uswahili kupitia Lokole,baba level na aristote lakini harmonize amemzidi mwenzake kwa unafki.

Ngoja tuone kama alichoongea jana Harmonize kama amemaanisha ,ni msanii mzuri ana nguvu afanye kazi zitaonekana na ni yeye ndiye the next king kama atautumia muda huu vizuri.
 
Kuna mstari mond aliimba kwamba "jahazi lina zama mola niokoe baba" kijana ana jarbu kuutumia vizuri
 
Ahahahahha akii nmecheka kwa sautii ahahahahha eti Wazirii Junior
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…