kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Where is your point ESMA?Tatizo watu wengi hupenda kutoa sifa za mtu akiwa amekufa badala ya kumpatia Akiwa hai.
Kiukweli Diamond amejitahidi na ameweka juhudi katika kuutangaza mziki wetu kimataifa.
Harmonise anaharibu kwa kuanza kutoa maneno ya kejeli Mahali palipomsaidi kisa leo amekua na jina, angekumbuka wema mdogo wa mtu kukuthamini pale ambapo wengine walikua hawakuthamini( maana BSS walimtema)