SAFIRI KWENDA J'BURG & KURUDI DAR kwa 500,000/= (FASTJET)

SAFIRI KWENDA J'BURG & KURUDI DAR kwa 500,000/= (FASTJET)

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wajasiriamali kuna hii fursa imeletwa na Fastjet kwenda & Kurudi South Africa kwa laki 5 tu jamani hii ni opportunity ya maisha ewe mjasiriamali changamkia hii fursa kwa kwenda kuchukua mali hapo South Africa,kule malazi ni bei rahis sana (Jburg hata Pretoria). Achaneni na safari za kuunga unga (sembe) a.k.a COCAINE/HEROIN
 
mkizubaa wakenya watatumia fursa hii maana South Africa kuna products nzuri, durable & affordable
 
One way ni 256,000 x 2 person= 502,000 (tax included) hata kwa wale wanaotaka kwenda nchi jiran kama Namibia,Lesotho,Botswana,swaziland,Angola kwa route hii ni nzuri sana.ukifka johannesburg unaunganisha kwa ndege nyingine za bei nafuu zaid kuliko SAA au KQ.
 
Wakuu hawa Fastjet kiukweli wamenitoa hasa hizi safari za DAR-JOBURG, DAR-ENTEBBE, DAR-LUSAKA/HARARE wameturahishishia sana sisi wajasiriamali kuliko kupambana na FALCON kuitafuta KAMPALA, LUSAKA au HARARE sasa toboeni na NAIROBI pia na ADDIS ABABA
 
Mkuu Asante kwa info. mimi nataka kwenda Cape Town September 2015 ngoja nijipange
 
Mimi nataka kwenda jburg kutafuta maisha nina diploma ya IT nina nauli na ela ya kuniboost kama miezi 2 wakat natafuta michongo ila ngependa wazoefu wanijuza gharama ya kupanga gheto jburg zikoje
 
Mkuu mocran huko south ni ku-hussle si rahisi kupata kazi unayotaka wewe kirahisi. La muhimu tafuta mwenyeji kwanza akupe michongo kwanza na kukuhifadhi siku za mwanzoni. Na usichague kazi kazi yoyote sawa (kuuza Apples kwenye Foleni)., mfagizi kwenye malls/supermarkets), porter kwenye ma-godown halafu ukishakaa sawa ndo uanze kutembeza barua. Wa-Nigeria pia ni wa kumwaga huko so usifikiri kutoboa peke yako ni rahisi unless unapeleka UNGA au Biashara ya Mzee MWALU-BANDUA
 
Back
Top Bottom