and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Wajasiriamali kuna hii fursa imeletwa na Fastjet kwenda & Kurudi South Africa kwa laki 5 tu jamani hii ni opportunity ya maisha ewe mjasiriamali changamkia hii fursa kwa kwenda kuchukua mali hapo South Africa,kule malazi ni bei rahis sana (Jburg hata Pretoria). Achaneni na safari za kuunga unga (sembe) a.k.a COCAINE/HEROIN