Sahau kufanya biashara na mwanaume anayekwambia 'Subiri nimshirikishe mke wangu'

Right Marker

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
194
Reaction score
625
Madalali watakuwa wameshanielewa. Ni ngumu sana kufanya biashara na mwanaume anayekwambia usubiri akamshirikishe mke wake ili mkewe atoe "Go ahead" ndipo mfanye biashara. Hiyo si biashara tena, ni mahaba😀

Hakuna ambaye hajui kuwa asilimia kubwa ya wanawake sio risk taker, wengi ni waoga ingawa si wote. Ni wanawake wachache sana ambao wanaweza kuchukua pesa nyingi ya mfukoni mwake kwenda kuiwekeza shambani, hisa, biashara, ununuzi wa bidhaa, n.k.

Sasa ukikutana na mwanaume ambaye unataka kufanya nae biashara lakini kwa kutegemea "go ahead" ya mkewe, hapo hakuna tena biashara. Tafuta mtu/mteja mwingine wa kufanya nae biashara.

Labda kwenye biashara ya kutapeliwa/kuibiwa wanawake ndio wanakuwa wepesi wa kutoa "go ahead", lakini si kwenye biashara halali.

RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
 
Naunga mkono hoja
 
Mara nyingi mwanaume akisema anaenda kumshirikisha mke wake sababu ni hizi

1: kumpa taarifa ili ajue kinachoendelea
2: Pengine hizo fedha ni za mke wake
3: wapo wanawake ni washauri wazuri.

Kwahiyo lililo Bora kwa ustawi wa taasisi ya ndoa kushauriana na mke ni Bora zaidi kuliko kutoa maamuzi peke Yako.

Hata hivyo hii inategemea na aina ya mke uliyenae kiakili Yuko vipi.
 
Nina jamaa yangu mwaka 2006 au 07 sikumbuki vizuri akawa anataka kununua kiwanja target Kimara isivuke Mbezi Temboni madai yake anataka karibu na mjini kidogo,kiwanja kikapatikana Kimara uelekeo wa Bonyokwa kizuri kweli ½km kutoka Morogoro Rd tukaenda kukiona jamaa akasema atakuja kulipa lakini mpaka akiwa na mkewe na bei ilikuwa ya kutupa.

Kipindi hicho wanaishi Sinza so siku ya kwenda kulipa jamaa akaniambia nikawe shahidi kufika site mke anapaita porini nakumbuka kumsikia “sasa huku porini hata nikitaka chips nitaenda kununua wapi” tunavyoongea hapa wanaishi Kiluvya Kongowe na yenyewe ndani ndani huko boda elfu tatu mshikaki wanapakizwa wawili elfu mbili mbili so ni zaidi ya 4km kuingia ndani.
 
Mara nyingi mwanaume akisema anaenda kumshirikisha mke wake sababu ni hizi

1: kumpa taarifa ili ajue kinachoendelea
2: Pengine hizo fedha ni za mke wake
3: wapo wanawake ni washauri wazuri.

Kwahiyo lililo Bora kwa ustawi wa taasisi ya ndoa kushauriana na mke ni Bora zaidi kuliko kutoa maamuzi peke Yako.

Hata hivyo hii inategemea na aina ya mke uliyenae kiakili Yuko vipi.

Ukisikia kauli Akashauriane na mke hapo hakuna Biashara, achana na huyo mtu...
Mwanamke akili yao inawatosha wenyewe.
 
Mke na mume wakioana wanakuwa kitu kimoja,so Kila watalofanya ni Kwa faida Yao wote wawili sioni ubaya kushirikishana mipango yao.unanunua mashamba mke wako hajui?
Unajenga nyumba mumeo asijue?
Lazima italeta huzuni na hisia za kutoaminiana baina yao.na kama Wana familia ndo kabisa wanaharibu.kama Kila mmoja anaangalia upande wake upande wa watoto itaangaliwa na nani?

Suala la kutomshirikisha mwenza ni labda kama Yuko evil minded,yani unajua kabisa huyu ni muuaji/muhuni hanipendi Tena nk.
nkimtajia kiwango Cha pesa na mali zilivyo nyingi anaweza kuniua abaki nazo.
Lakini kama wote mko vema sio tatizo.
Dunia Ina mengi unaweza ingia matatizoni huko mkeo nae akaingizwa huku hajui hata kujieleza aanzie wapi.hajui chochote kuhusu.
Ni muhimu
 
Nina jamaa yangu mwaka 2006 au 07 sikumbuki vizuri akawa anataka kununua kiwanja target Kimara isivuke Mbezi Temboni,kiwanja kikapatikana Kimara uelekeo wa Bonyokwa kizuri kweli ½km kutoka Morogoro Rd tukaenda kukiona jamaa akasema atakuja kulipa lakini mpaka akiwa na mkewe na bei ilikuwa ya kutupa.

Kipindi hicho wanaishi Sinza so siku ya kwenda kulipa jamaa akaniambia nikawe shahidi kufika site mke anapaita porini nakumbuka kumsikia “sasa huku hata nikitaka chips nitaenda kununua wapi” tunapoongea hapa wanaishi Kiluvya Kongowe na yenyewe ndani ndani huko
😂😂😂😂😂 Bumbavu kabisa...Kuna mwingine alishakosa discovery gari nzuri kinyama, mwenye gari alikua Amepata mchongo wa kwenda marekani na alikua Yuko resi kweli bei ilikua kama tu ya kutupa...
 
Kwa Baba Makini Anaetambua umuhimu wa Mkewake Hawezi kufanya jambo Bila kumshirikisha Mkewake.

Hatuishi kufurahisha watu Tunaishi na Mke Mafanikio ya Mwanaume Uchangiwa na Mwana Mke pia.

Ukitaka uharibikiwe wewe jidai wewe ndio mwamuzi wa kila kitu na umdharau mkewako nakwambia utakwama mjomba.

Mungu Amewapa wanawake jicho la tatu kungamua mambo sisi wanaume uamua kwa mihemko na kukurupuka lakini wanawake ufikiri kabla ya kufanya jambo.

Wapo wanaume wengi Leo wanajuta kwa kufanya Maamuzi bila kuwashirikisha wake zao na Leo wanakumbuka Umuhimu wa kuwashirikisha wake zao kwenye Mambo flani.
 
ni WAPUMBAVU tu ndo husubili go ahead kutoka kwa wake zao,..
 
Mara nyingi mwanaume akisema anaenda kumshirikisha mke wake sababu ni hizi

1: kumpa taarifa ili ajue kinachoendelea
2: Pengine hizo fedha ni za mke wake
3: wapo wanawake ni washauri wazuri.

Kwahiyo lililo Bora kwa ustawi wa taasisi ya ndoa kushauriana na mke ni Bora zaidi kuliko kutoa maamuzi peke Yako.

Hata hivyo hii inategemea na aina ya mke uliyenae kiakili Yuko vipi.
Ndoa sio taasisi.
 
Watu mliokulia kwenye mfumo dume sometimes mnakuwa na shida sana kuna ubaya mme kwenda kushauriana na mke jambo la maendeleo kwa manufaa ya familia?

Nadhani itakuwa ujinga kwa mwanaume akiona jambo la manufaa kwa familia akalikataa kisa mke wake amelikataa.

Na ushauri unaweza kuwa mbaya au mzuri uamuzi wa mwisho utaamua wewe mwenyewe

Ila mke kukushauri isiwe nongwa ya ku doubt uanaume wako
 
Hata kwa wasio sema ni mabalaa vile vile.. Muhimu hakuna mshirikisha mwanaume asiye mume.. Hata mume nae lazima kuwa smati.. Mwanamke lazima kufanya yako.. Kwa kufunga mdomo.. Hajui hajui tu hata mume...

Nimeandika poa kwa kusikia ya wengi.. Eeeh
 
Nina jamaa yangu mwaka 2006 au 07 sikumbuki vizuri akawa anataka kununua kiwanja target Kimara isivuke Mbezi Temboni,kiwanja kikapatikana Kimara uelekeo wa Bonyokwa kizuri kweli ½km kutoka Morogoro Rd tukaenda kukiona jamaa akasema atakuja kulipa lakini mpaka akiwa na mkewe na bei ilikuwa ya kutupa.

Kipindi hicho wanaishi Sinza so siku ya kwenda kulipa jamaa akaniambia nikawe shahidi kufika site mke anapaita porini nakumbuka kumsikia “sasa huku hata nikitaka chips nitaenda kununua wapi” tunapoongea hapa wanaishi Kiluvya Kongowe na yenyewe ndani ndani huko
Mkuu ww c ulinunuaa juu ya mulimaa na now unawaangalia majirani zako Kwa chinii tu na lilee mgorofa lakoo😀😀😀😀

Natania
 
Mke na mume wakioana wanakuwa kitu kimoja,so Kila watalofanya ni Kwa faida Yao wote wawili sioni ubaya kushirikishana mipango yao.unanunua mashamba mke wako hajui?
Unajenga nyumba mumeo asijue?
Lazima italeta huzuni na hisia za kutoaminiana baina yao.na kama Wana familia ndo kabisa wanaharibu.kama Kila mmoja anaangalia upande wake upande wa watoto itaangaliwa na nani?

Suala la kutomshirikisha mwenza ni labda kama Yuko evil minded,yani unajua kabisa huyu ni muuaji/muhuni hanipendi Tena nk.
nkimtajia kiwango Cha pesa na mali zilivyo nyingi anaweza kuniua abaki nazo.
Lakini kama wote mko vema sio tatizo.
Dunia Ina mengi unaweza ingia matatizoni huko mkeo nae akaingizwa huku hajui hata kujieleza aanzie wapi.hajui chochote kuhusu.
Ni muhimu
Mwanamke hashirikishwi hatua za awali, unampa taarifa tu...tulitaka jambo lako likwame mshikishe hatua za awali
 
Mara nyingi mwanaume akisema anaenda kumshirikisha mke wake sababu ni hizi

1: kumpa taarifa ili ajue kinachoendelea
2: Pengine hizo fedha ni za mke wake
3: wapo wanawake ni washauri wazuri.

Kwahiyo lililo Bora kwa ustawi wa taasisi ya ndoa kushauriana na mke ni Bora zaidi kuliko kutoa maamuzi peke Yako.

Hata hivyo hii inategemea na aina ya mke uliyenae kiakili Yuko vipi.
Alichokisema mleta Uzi ni kweli kabisa. Nimekutana na watu wa namba hiyo. Mpaka Sasa nikitaka kufanya biashara na mtu akatoa hiyo kauli najua kabisa biashara hakuna
 
Back
Top Bottom