Sahau kufanya biashara na mwanaume anayekwambia 'Subiri nimshirikishe mke wangu'

Sahau kufanya biashara na mwanaume anayekwambia 'Subiri nimshirikishe mke wangu'

Mke na mume wakioana wanakuwa kitu kimoja,so Kila watalofanya ni Kwa faida Yao wote wawili sioni ubaya kushirikishana mipango yao.unanunua mashamba mke wako hajui?
Unajenga nyumba mumeo asijue?
Lazima italeta huzuni na hisia za kutoaminiana baina yao.na kama Wana familia ndo kabisa wanaharibu.kama Kila mmoja anaangalia upande wake upande wa watoto itaangaliwa na nani?
Kuna kitu hujakielewa,mada haizungumzii kununua vitu au kujenga kwa siri kinachozungumzwa ni kule kumshirikisha mwenzako hasa mwanamke na kuanza kukukatisha tamaa so unanunua then unamuita kumjulisha hii ni mali yako/yenu.

Vitu vyangu vingi huwa nafanya kwanza kisha mke anajulishwa nikishakuwa nacho mkononi.
 
Wengine wanatafuta tu namna nzuri ya kukimbia hiyo biashara bila kukukera ila wala mke hana sauti.
 
Nina jamaa yangu mwaka 2006 au 07 sikumbuki vizuri akawa anataka kununua kiwanja target Kimara isivuke Mbezi Temboni madai yake anataka karibu na mjini kidogo,kiwanja kikapatikana Kimara uelekeo wa Bonyokwa kizuri kweli ½km kutoka Morogoro Rd tukaenda kukiona jamaa akasema atakuja kulipa lakini mpaka akiwa na mkewe na bei ilikuwa ya kutupa.

Kipindi hicho wanaishi Sinza so siku ya kwenda kulipa jamaa akaniambia nikawe shahidi kufika site mke anapaita porini nakumbuka kumsikia “sasa huku porini hata nikitaka chips nitaenda kununua wapi” tunavyoongea hapa wanaishi Kiluvya Kongowe na yenyewe ndani ndani huko boda elfu tatu mshikaki wanapakizwa wawili elfu mbili mbili so ni zaidi ya 4km kuingia ndani.
Dahhh
 
Madalali watakuwa wameshanielewa. Ni ngumu sana kufanya biashara na mwanaume anayekwambia usubiri akamshirikishe mke wake ili mkewe atoe "Go ahead" ndipo mfanye biashara. Hiyo si biashara tena, ni mahaba😀

Hakuna ambaye hajui kuwa asilimia kubwa ya wanawake sio risk taker, wengi ni waoga ingawa si wote. Ni wanawake wachache sana ambao wanaweza kuchukua pesa nyingi ya mfukoni mwake kwenda kuiwekeza shambani, hisa, biashara, ununuzi wa bidhaa, n.k.

Sasa ukikutana na mwanaume ambaye unataka kufanya nae biashara lakini kwa kutegemea "go ahead" ya mkewe, hapo hakuna tena biashara. Tafuta mtu/mteja mwingine wa kufanya nae biashara.

Labda kwenye biashara ya kutapeliwa/kuibiwa wanawake ndio wanakuwa wepesi wa kutoa "go ahead", lakini si kwenye biashara halali.

RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
Sawa mkuu,huyo anakuwa sio kichwa Cha nyumba!
 
Nina jamaa yangu mwaka 2006 au 07 sikumbuki vizuri akawa anataka kununua kiwanja target Kimara isivuke Mbezi Temboni madai yake anataka karibu na mjini kidogo,kiwanja kikapatikana Kimara uelekeo wa Bonyokwa kizuri kweli ½km kutoka Morogoro Rd tukaenda kukiona jamaa akasema atakuja kulipa lakini mpaka akiwa na mkewe na bei ilikuwa ya kutupa.

Kipindi hicho wanaishi Sinza so siku ya kwenda kulipa jamaa akaniambia nikawe shahidi kufika site mke anapaita porini nakumbuka kumsikia “sasa huku porini hata nikitaka chips nitaenda kununua wapi” tunavyoongea hapa wanaishi Kiluvya Kongowe na yenyewe ndani ndani huko boda elfu tatu mshikaki wanapakizwa wawili elfu mbili mbili so ni zaidi ya 4km kuingia ndani.
Eeh ndio wakome na chips zao
 
Wanawake mara nyingi uona juu na sio mbele mimi nikikaa nafanya calculation za familia miaka mitatu mbele mwanamke ataongelea habari za mda huo tu . Katika maamuzi mwanaume anatakiwa kuwa front sana
 
Alichokisema mleta Uzi ni kweli kabisa. Nimekutana na watu wa namba hiyo. Mpaka Sasa nikitaka kufanya biashara na mtu akatoa hiyo kauli najua kabisa biashara hakuna
Unaskia " ngoja nimwambie wife" Mwana unajua leo unapiga zako hela umeisotea ..unashangaa kelebu hio 😂😂😂
 
Kwa Baba Makini Anaetambua umuhimu wa Mkewake Hawezi kufanya jambo Bila kumshirikisha Mkewake.

Hatuishi kufurahisha watu Tunaishi na Mke Mafanikio ya Mwanaume Uchangiwa na Mwana Mke pia.

Ukitaka uharibikiwe wewe jidai wewe ndio mwamuzi wa kila kitu na umdharau mkewako nakwambia utakwama mjomba.

Mungu Amewapa wanawake jicho la tatu kungamua mambo sisi wanaume uamua kwa mihemko na kukurupuka lakini wanawake ufikiri kabla ya kufanya jambo.

Wapo wanaume wengi Leo wanajuta kwa kufanya Maamuzi bila kuwashirikisha wake zao na Leo wanakumbuka Umuhimu wa kuwashirikisha wake zao kwenye Mambo flani.
Kati ya Mwanaume na Mwanamke ni yupi mwenye maamuzi ya mihemuko?
Labda huyo mwanaume si timilifu maana ilivyo ni kuwa wanawake wanaendeshwa na mihemuko ya hisia zao , tena za ghafla ila wanaume ni wagumu wa maamuzi ya ghafla...
 
Wanawake ni Viumbe wa Ajabu Matendo ya Kumpa Faida badae huwa hawayaamini wanapenda Vitu Vinavyoonekana
Ndo maana wanawake wanacheza vikoba sana!! Wakishajihesabu tu anajua mwezi gani ni zamu yake kupokea lakini aweke hela kwenye investment ya maana!! Sahau !! Mwanamke anawaza kwanza hasara tu! Haonagi faida ya long term investment.
 
Ninao mfano Hai Mimi mwenye.
Mwanamke aliniomba nimpe pesa ya Kodi, nikamwambia nitakupa baada ya mda kufika pesa nikakosa,
Ila lengo langu lilikua ni kumpa hiyo pesa ya Kodi na pia nimjengee nyumba.
Nilijichanga nikajenga nyumba ya chumba vitatu kimya kimya nampgia simu na mwambia njoo Uchukue Pesa ya Kodi kwa mpangaji na wewe ndo utakua unachukua Kodi Kila mwezi ikusaidie kulipia Kodi unakoishi, akanza nyodo na dharau kibao.
 
Wanawake ni Viumbe wa Ajabu Matendo ya Kumpa Faida badae huwa hawayaamini wanapenda Vitu Vinavyoonekana
Mwanamke akiambiwa lete Hati ya Nyumba utapata hela Bank, faster anaitoa. Halafu akitapeliwa baadaye kilio.
 
Back
Top Bottom