Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
Naunga mkono hojaMadalali watakuwa wameshanielewa. Ni ngumu sana kufanya biashara na mwanaume anayekwambia usubiri akamshirikishe mke wake ili mkewe atoe "Go ahead" ndipo mfanye biashara. Hiyo si biashara tena, ni mahaba😀
Hakuna ambaye hajui kuwa asilimia kubwa ya wanawake sio risk taker, wengi ni waoga ingawa si wote. Ni wanawake wachache sana ambao wanaweza kuchukua pesa nyingi ya mfukoni mwake kwenda kuiwekeza shambani, hisa, biashara, ununuzi wa bidhaa, n.k.
Sasa ukikutana na mwanaume ambaye unataka kufanya nae biashara lakini kwa kutegemea "go ahead" ya mkewe, hapo hakuna tena biashara. Tafuta mtu/mteja mwingine wa kufanya nae biashara.
Labda kwenye biashara ya kutapeliwa/kuibiwa wanawake ndio wanakuwa wepesi wa kutoa "go ahead", lakini si kwenye biashara halali.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
Mara nyingi mwanaume akisema anaenda kumshirikisha mke wake sababu ni hiziMadalali watakuwa wameshanielewa. Ni ngumu sana kufanya biashara na mwanaume anayekwambia usubiri akamshirikishe mke wake ili mkewe atoe "Go ahead" ndipo mfanye biashara. Hiyo si biashara tena, ni mahaba😀
Hakuna ambaye hajui kuwa asilimia kubwa ya wanawake sio risk taker, wengi ni waoga ingawa si wote. Ni wanawake wachache sana ambao wanaweza kuchukua pesa nyingi ya mfukoni mwake kwenda kuiwekeza shambani, hisa, biashara, ununuzi wa bidhaa, n.k.
Sasa ukikutana na mwanaume ambaye unataka kufanya nae biashara lakini kwa kutegemea "go ahead" ya mkewe, hapo hakuna tena biashara. Tafuta mtu/mteja mwingine wa kufanya nae biashara.
Labda kwenye biashara ya kutapeliwa/kuibiwa wanawake ndio wanakuwa wepesi wa kutoa "go ahead", lakini si kwenye biashara halali.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
Mara nyingi mwanaume akisema anaenda kumshirikisha mke wake sababu ni hizi
1: kumpa taarifa ili ajue kinachoendelea
2: Pengine hizo fedha ni za mke wake
3: wapo wanawake ni washauri wazuri.
Kwahiyo lililo Bora kwa ustawi wa taasisi ya ndoa kushauriana na mke ni Bora zaidi kuliko kutoa maamuzi peke Yako.
Hata hivyo hii inategemea na aina ya mke uliyenae kiakili Yuko vipi.
Wanafugwa kwenye kibuyu kmmake..unajiona mwanaume kumbe boya tu uko kwenye kibuyuMkuu umeongea fact na asilimia kubwa ya wanaume wa hivyo wanakuwa wanafugwa na wake zao
😂😂😂😂😂 Bumbavu kabisa...Kuna mwingine alishakosa discovery gari nzuri kinyama, mwenye gari alikua Amepata mchongo wa kwenda marekani na alikua Yuko resi kweli bei ilikua kama tu ya kutupa...Nina jamaa yangu mwaka 2006 au 07 sikumbuki vizuri akawa anataka kununua kiwanja target Kimara isivuke Mbezi Temboni,kiwanja kikapatikana Kimara uelekeo wa Bonyokwa kizuri kweli ½km kutoka Morogoro Rd tukaenda kukiona jamaa akasema atakuja kulipa lakini mpaka akiwa na mkewe na bei ilikuwa ya kutupa.
Kipindi hicho wanaishi Sinza so siku ya kwenda kulipa jamaa akaniambia nikawe shahidi kufika site mke anapaita porini nakumbuka kumsikia “sasa huku hata nikitaka chips nitaenda kununua wapi” tunapoongea hapa wanaishi Kiluvya Kongowe na yenyewe ndani ndani huko
Ndoa sio taasisi.Mara nyingi mwanaume akisema anaenda kumshirikisha mke wake sababu ni hizi
1: kumpa taarifa ili ajue kinachoendelea
2: Pengine hizo fedha ni za mke wake
3: wapo wanawake ni washauri wazuri.
Kwahiyo lililo Bora kwa ustawi wa taasisi ya ndoa kushauriana na mke ni Bora zaidi kuliko kutoa maamuzi peke Yako.
Hata hivyo hii inategemea na aina ya mke uliyenae kiakili Yuko vipi.
Mkuu ww c ulinunuaa juu ya mulimaa na now unawaangalia majirani zako Kwa chinii tu na lilee mgorofa lakoo😀😀😀😀Nina jamaa yangu mwaka 2006 au 07 sikumbuki vizuri akawa anataka kununua kiwanja target Kimara isivuke Mbezi Temboni,kiwanja kikapatikana Kimara uelekeo wa Bonyokwa kizuri kweli ½km kutoka Morogoro Rd tukaenda kukiona jamaa akasema atakuja kulipa lakini mpaka akiwa na mkewe na bei ilikuwa ya kutupa.
Kipindi hicho wanaishi Sinza so siku ya kwenda kulipa jamaa akaniambia nikawe shahidi kufika site mke anapaita porini nakumbuka kumsikia “sasa huku hata nikitaka chips nitaenda kununua wapi” tunapoongea hapa wanaishi Kiluvya Kongowe na yenyewe ndani ndani huko
Mwanamke hashirikishwi hatua za awali, unampa taarifa tu...tulitaka jambo lako likwame mshikishe hatua za awaliMke na mume wakioana wanakuwa kitu kimoja,so Kila watalofanya ni Kwa faida Yao wote wawili sioni ubaya kushirikishana mipango yao.unanunua mashamba mke wako hajui?
Unajenga nyumba mumeo asijue?
Lazima italeta huzuni na hisia za kutoaminiana baina yao.na kama Wana familia ndo kabisa wanaharibu.kama Kila mmoja anaangalia upande wake upande wa watoto itaangaliwa na nani?
Suala la kutomshirikisha mwenza ni labda kama Yuko evil minded,yani unajua kabisa huyu ni muuaji/muhuni hanipendi Tena nk.
nkimtajia kiwango Cha pesa na mali zilivyo nyingi anaweza kuniua abaki nazo.
Lakini kama wote mko vema sio tatizo.
Dunia Ina mengi unaweza ingia matatizoni huko mkeo nae akaingizwa huku hajui hata kujieleza aanzie wapi.hajui chochote kuhusu.
Ni muhimu
Alichokisema mleta Uzi ni kweli kabisa. Nimekutana na watu wa namba hiyo. Mpaka Sasa nikitaka kufanya biashara na mtu akatoa hiyo kauli najua kabisa biashara hakunaMara nyingi mwanaume akisema anaenda kumshirikisha mke wake sababu ni hizi