Sahau kufanya biashara na mwanaume anayekwambia 'Subiri nimshirikishe mke wangu'

Kuna kitu hujakielewa,mada haizungumzii kununua vitu au kujenga kwa siri kinachozungumzwa ni kule kumshirikisha mwenzako hasa mwanamke na kuanza kukukatisha tamaa so unanunua then unamuita kumjulisha hii ni mali yako/yenu.

Vitu vyangu vingi huwa nafanya kwanza kisha mke anajulishwa nikishakuwa nacho mkononi.
 
Wengine wanatafuta tu namna nzuri ya kukimbia hiyo biashara bila kukukera ila wala mke hana sauti.
 
Dahhh
 
Sawa mkuu,huyo anakuwa sio kichwa Cha nyumba!
 
Eeh ndio wakome na chips zao
 
Wanawake mara nyingi uona juu na sio mbele mimi nikikaa nafanya calculation za familia miaka mitatu mbele mwanamke ataongelea habari za mda huo tu . Katika maamuzi mwanaume anatakiwa kuwa front sana
 
Alichokisema mleta Uzi ni kweli kabisa. Nimekutana na watu wa namba hiyo. Mpaka Sasa nikitaka kufanya biashara na mtu akatoa hiyo kauli najua kabisa biashara hakuna
Unaskia " ngoja nimwambie wife" Mwana unajua leo unapiga zako hela umeisotea ..unashangaa kelebu hio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kati ya Mwanaume na Mwanamke ni yupi mwenye maamuzi ya mihemuko?
Labda huyo mwanaume si timilifu maana ilivyo ni kuwa wanawake wanaendeshwa na mihemuko ya hisia zao , tena za ghafla ila wanaume ni wagumu wa maamuzi ya ghafla...
 
Wanawake ni Viumbe wa Ajabu Matendo ya Kumpa Faida badae huwa hawayaamini wanapenda Vitu Vinavyoonekana
Ndo maana wanawake wanacheza vikoba sana!! Wakishajihesabu tu anajua mwezi gani ni zamu yake kupokea lakini aweke hela kwenye investment ya maana!! Sahau !! Mwanamke anawaza kwanza hasara tu! Haonagi faida ya long term investment.
 
Ndo maana wanawake wanacheza vikoba sana!! Wakishajihesabu tu anajua mwezi gani ni zamu yake kupokea lakini aweke hela kwenye investment ya maana!! Sahau !! Mwanamke anawaza kwanza hasara tu! Haonagi faida ya long term investment.
Ninao mfano Hai Mimi mwenye.
Mwanamke aliniomba nimpe pesa ya Kodi, nikamwambia nitakupa baada ya mda kufika pesa nikakosa,
Ila lengo langu lilikua ni kumpa hiyo pesa ya Kodi na pia nimjengee nyumba.
Nilijichanga nikajenga nyumba ya chumba vitatu kimya kimya nampgia simu na mwambia njoo Uchukue Pesa ya Kodi kwa mpangaji na wewe ndo utakua unachukua Kodi Kila mwezi ikusaidie kulipia Kodi unakoishi, akanza nyodo na dharau kibao.
 
Wanawake ni Viumbe wa Ajabu Matendo ya Kumpa Faida badae huwa hawayaamini wanapenda Vitu Vinavyoonekana
Mwanamke akiambiwa lete Hati ya Nyumba utapata hela Bank, faster anaitoa. Halafu akitapeliwa baadaye kilio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…