DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Kwa muda mrefu sasa yapata mwaka mmoja nimefanya utafiti na nimejiridhisha baada ya kupata matokeo yaleyale kila ninaporudia kufanya utafiti wangu. Hii ndiyo list ya top ten yangu ya vitu usivitegemee kutokea na sahau kamwe katika maisha yako.
(1) Mchambuzi yoyote wa Soka asiyewafahamu Ronaldo na Messi.
(2) Watanzania wengi kuamini kwamba Mheshimiwa anatupoteza kwa sababu anapenda cheap popularity, kukurupuka, kupenda misifa, kukosa maono na unafiki.
(3)Wema Sepetu kuolewa na hatimaye kuwa mke bora kwenye ndoa.
(4) Hawa watu na mashabiki wao kukubali na kukiri hadharani kuwa walibugi kumleta huyu mjumbe toka upande wa pili aje agombee huku.
(5) Hawa waliopo kwenye dola kuwashinda bila kubadilisha mfumo hususani katiba.
(6) watu wa buku saba kama Lizaboni na Faiza Foxy kukiri hadharani humu jukwaani kwamba toka uhuru
tunakwamishwa na hilo genge wanalolishabikia.
(7) viongozi wa kisiasa waliosemwa sana hivi karibuni kunyosha maelezo vizuri kuhusu elimu zao.
(8) Wanavyuo wengi km Udom kukubali kuwa udsm ndio chuo bora zaidi Tanzania na kinatoa vipanga zaidi.
(9) Walimu wengi kukubali kuwa miongoni mwao asilimia kubwa ni failures na serikali haina mpango wa kuboresha maslahi yao.
(10)............ hyo nyingine na wewe malizia.