Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Acha wajenge stendi kwanza ndio twendele na hii mada, maana ni aibu kusema semehu makini sana wakati hakuna stendi yenye hadhi hata ya iliojengwa katavi, hakuna soko lililo jengwa kwa hadhi ya jiji Arusha bado ni mwendo wa vizimba kama vya kuoshea vyombo
 
Washamba utawajua tu. Eti stand mara sijui nini? Watu wa Arusha style yao ya maisha ni tofauti sana, Yani priorities zao na nyie mlioanza kuona tofali juzi is way different
 
Bila kusahau sifa ya majambazi hatari yametokea huko!
Majambazi unajua yanatokea chama gani na makao makuu ya chama unajua yalipo. Na ss hv yameamua kupora ili kuhonga Ardhi kule Ngorongoro!!!
 
A good place to be
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…