Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,970
Imeelezwa na Wasimamizi wa Ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha kuanzia Morogoro kwenda Makutupora kuwa saini iliyowekwa na hayati rais Magufuli alipotembelea ujenzi wa mahandaki ya reli hiyo mnamo tarehe 29/06/2020 imegeuka kuwa kivutio cha utalii!
Maelfu ya watu hufika kila siku kwenye mahandaki hayo na kupiga picha kwenye sahihi ya Magufuli na kuondoka zao. Hali hiyo imetafasiriwa kama upendo mkubwa walionao watu kwa rais huyo wa tano wa Tanzania.