Sahihi ya Hayati Magufuli yageuka kivutio cha utalii kwenye Mahandaki ya SGR

Sahihi ya Hayati Magufuli yageuka kivutio cha utalii kwenye Mahandaki ya SGR

Mode n
Uzi kama huu muwe mnauondoa mapems tarehe zikizotajwa mwendazake alikuwa keshaondoka sasa saini ilitoka wapi
 
Imeelezwa na wasimamizi wa ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha kuanzia Morogoro kwenda Makutupora kuwa saini iliyowekwa na hayati rais Magufuli alipotembelea ujenzi wa mahandaki ya reli hiyo mnamo tarehe 29/06/2020 imegeuka kuwa kivutio cha utalii!

Maelfu ya watu hufika kila siku kwenye mahandaki hayo na kupiga picha kwenye sahihi ya Magufuli na kuondoka zao. Hali hiyo imetafasiriwa kama upendo mkubwa walionao watu kwa rais huyo wa tano wa Tanzania.View attachment 1832759View attachment 1832760
Aisee nimetoka nchi ya Burundi yaani huyu mwamba walikua wanamkubali na kumlilia alipofariki. Wanamjua na kumpenda sana n wengine hadi wakiweka msiba alipofariki

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Unakurupuka sana mkuu.

Hiyo saini iko wapi? Hamna hata picha?

Magufuli alitembelea mahandaki tarehe 21/06/2021 akitokea wapi, kuzimu?? Au unamaana mwanae Joseph Magufuli kaenda kutembelea SGR?
Duh..mtoa hoja kaandika 29/06/2020....wewe 2021 umeitoa wapi!?….SASA Nani amekurupuka Kati yenu!?
 
Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.

Ccm itaendelea kupeta
Lisu alikuwa anapambana na dikteta uchwara na amemtoa nock out hatarudi milele hanashida na mama
Mama ni msikivu
Hashipazi shingo
Wataendana
 
Imeelezwa na wasimamizi wa ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha kuanzia Morogoro kwenda Makutupora kuwa saini iliyowekwa na hayati rais Magufuli alipotembelea ujenzi wa mahandaki ya reli hiyo mnamo tarehe 29/06/2020 imegeuka kuwa kivutio cha utalii!..
Yule Shetani Bora Mungu alipomfutilia kwenye Sura ya Dunia.

Alifanya watu kama wewe muwe na Taahira ya Ubongo, na Mko wengi kweli kweli
 
Back
Top Bottom