Sahili za vitendo (practical) kada network administrator wanatoa maswali ya namna gani?

Habari

Nimeitwa kwenye practical ya utumishi kada network administrator, ningependa kupata hints jinsi namna maswali yanavyotoka na ni part ipi nijiandae vizuri.
Configuration zote za network unatakiwa uzijue unaenda ku configure ma router kama yote
 
Ulipona mkuu??
 
Habari

Nimeitwa kwenye practical ya utumishi kada network administrator, ningependa kupata hints jinsi namna maswali yanavyotoka na ni part ipi nijiandae vizuri.
Mfanyakazi wa NASA hii interview ulitoboa?!
 
Back
Top Bottom