Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Configuration zote za network unatakiwa uzijue unaenda ku configure ma router kama yoteHabari
Nimeitwa kwenye practical ya utumishi kada network administrator, ningependa kupata hints jinsi namna maswali yanavyotoka na ni part ipi nijiandae vizuri.
Nimekupata mkuu shukrani kwa mchango wako.Configuration zote za network unatakiwa uzijue unaenda ku configure ma router kama yote
Shukran pia pambana sanaNimekupata mkuu shukrani kwa mchango wako.
Habari
Nimeitwa kwenye practical ya utumishi kada network administrator, ningependa kupata hints jinsi namna maswali yanavyotoka na ni part ipi nijiandae vizuri.
Mfanyakazi wa NASA hii interview ulitoboa?!Habari