Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Taarifa ya awali hii. Halafu mbona nimeweka details muhimu za kukupa mwanga.Mbona unaandika Kama vile wote humu tunamjua?
Duuh..nyumonia hii ni balaa
Changamoto za upumuaji
mmHg. Haya bwana .RIPMuuza magari maarufu jijini Dar es Salaam, Akachube afariki dunia alfajiri ya leo.
Umaarufu wake ulipelekea mpaka kupewa barabara ya Akachube iliyopo Kijitonyama
Mungu ailaze pema peponi roho yake
Okay. NashukuruTaarifa ya awali hii. Halafu mbona nimeweka details muhimu za kukupa mwanga.
Hii naiona mara ya pili bwasheeKafanikiwa kuitoroka awamu ya tano
Eti TZ hakuna corona!!!!mmHg. Haya bwana .RIP
Walipoombwa kuzuia kabla haijaingia hawakukubali na ilipoiingia hawataki hata itamkwe !! DaahhEti TZ hakuna corona!!!!
seriously 😲😲😲Unajua inahitaji kauli moja tu ya Mh.Rais ,kuepusha watu na vifo hv
Unakumbuka tulikua tunaenda kwao kununua mikate pale Magomeni ile Mikate Kama kichwa Cha Kassim BabuAise nilipata habari hii pia
sema ikikuwa juu kwa juu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hiyo kauli itatuharibia uchumi kwa sasa tuko kwenye right track hauitaji Rais aje akwambie majukumu yako ya kuchukua tahadhari we kaa kizembe ikukule kichwa ukisubili kauli ya Rais au nasema uongo ndugu zanguuuuu mitano tenaUnajua inahitaji kauli moja tu ya Mh.Rais ,kuepusha watu na vifo hv