TANZIA Said Akachube (Akachube Road) ambaye ni muuza magari maarufu DSM afariki dunia

Muuza magari maarufu jijini Dar es Salaam, Akachube afariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Ndugu wa karibu wamesema amefariki kwa ugonjwa wa Nimonia.

Umaarufu wake ulipelekea mpaka kupewa barabara ya Akachube iliyopo Kijitonyama

Mungu ailaze pema peponi roho yake
may his relatives lives holy life
 
Unajua inahitaji kauli moja tu ya Mh.Rais ,kuepusha watu na vifo hv

Watu hatujui thamani ya kauli zetu.
Hata kama tunatafuta kinga ya jamii kwa self exposure, ingekuwa kwa kuhimiza kujikinga ili wale wenye kupata shida waweze kuhudumiwa na hii mifumo yetu ya afya. Lakini, hii ya jumlajumla mifumo yaweza kuelemewa na idadi kubwa ya wagonjwa wenye uhitaji wa matibabu ya hali ya juu. Hapo ndo tutalia na kusaga meno. Very slowly exposure was a preferred mode, while taking care of the vulnerable people.
R.I.P Akachube
 
Muuza magari maarufu jijini Dar es Salaam, Akachube afariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Ndugu wa karibu wamesema amefariki kwa ugonjwa wa Nimonia.

Umaarufu wake ulipelekea mpaka kupewa barabara ya Akachube iliyopo Kijitonyama

Mungu ailaze pema peponi roho yake
Lengo lako ni kuleta taharuki kwa jamii eeeeh? Nikuripoti TCRA? Ha ha ha haaaaa!
 
Watu hatujui thamani ya kauli zetu.
Hata kama tunatafuta kinga ya jamii kwa self exposure, ingekuwa kwa kuhimiza kujikinga ili wale wenye kupata shida waweze kuhudumiwa na hii mifumo yetu ya afya. Lakini, hii ya jumlajumla mifumo yaweza kuelemewa na idadi kubwa ya wagonjwa wenye uhitaji wa matibabu ya hali ya juu. Hapo ndo tutalia na kusaga meno. Very slowly exposure was a preferred mode, while taking care of the vulnerable people.
R.I.P Akachube

Nchi masikini ikitafuta herd immunity kwa pandemic.... Nchi tajiri zimeshindwa...
 
Back
Top Bottom