Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kupewa barabara si umaarufu, hata wewe unaweza ukapewa. Tangu mfumo wa anuani za makazi (postal code) ulipoanzishwa TCRA ilitoa tangazo kuwakaribisha wakazi kupeleka majina ya kupewa mitaa yao, tatizo la mitaa msingi kuendelea kutokuwa na majina ambalo pia linakwamisha mambo mengi kama Uber kushindwa kuingia mitaani ni watanzania kutokuwa wafuatiliaji wa taarifa na matangazo.Muuza magari maarufu jijini Dar es Salaam, Akachube afariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Ndugu wa karibu wamesema amefariki kwa ugonjwa wa Nimonia.
Umaarufu wake ulipelekea mpaka kupewa barabara ya Akachube iliyopo Kijitonyama
Mungu ailaze pema peponi roho yake
Nakushauri kama mtaa wako hauna jina nenda TCRA kawape jina unalopendekeza, hata la babu yako mzaa bibi mzaa shangazi.