Lukonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,469
- 2,086
Kama huu ugonjwa hauna dawa Wala tiba utajikinga vipi na kufa?....
Usikariri, jaribu kutafakari na kuelewa context. Jisomee ujiongezee maarifa zaidi kwenye suala husika ili uweze kutanabaisha uelekeo mzuri kati ya options/chaguo mbele yako. Usishikilie kitu kwa sababu ya emotion au mapenzi binafsi. Hii ni sayansi wala si kingine.
Toa rejeo lolote kwa unachokisimamia.
Ingekuwa hivyo, usingetumia dawa za Sukari, Malaria na presha n.k
Kwani si kila anaekunywa au kutumia hupona.
Acha maneno ya kukata tamaa.