TANZIA Said Akachube (Akachube Road) ambaye ni muuza magari maarufu DSM afariki dunia

Labda nikusaidie takwimu.
Je hizo njia za kujikinga na Corona zimesaidia nini?.
Ikiwa takwimu inazidi kupanda kila siku?
Utatoa takwimu pasipochukuliwa takwimu halisia? Just for observation tuendelee na maisha tuone kati ya phase 1 na hii phase II, ipi itatuliza sana baada ya kwanza kujitahidi kutumia njia mbali mbali na hii tuliyokaidi.

Mwenyezi Mungu atupitishe salama pamoja na ukaidi wetu wa kushindwa kutumia akili zetu vyema na maarifa aliyotujalia ili tufanye post-mortem wote.
Screenshot_20210204-131134.jpg
 
Kama huu ugonjwa hauna dawa Wala tiba utajikinga vipi na kufa?.
1.kuvaa mask kwani wanaokufa hawavai mask?.
2kutumia sanitizer kwani huko wanaokufa hawatumii sanitizer?.
3.kunawa mikono kwani huko wanaokufa hawanawi mikono?.
4.lock down hao wanaokaa lock down hawafi na coronaa?.
hizi njia zote zinatumika unijumlisha na chanjo zimesaidia nini kwenye kupambana na Corona je Maambukizi yanaongezeka au yanapungua?
NDO MAANA MIMI NASEMA NIPO UPANDE WA MAGUFULI.
NI MUNGU Pekee ndo anaweza kutuokoa

1-Mask kama chandarua unaweza kulala lakini ukapata malaria nje ya chandarua ila inasaidia kujilinda.
2- Hakuna
Utatoa takwimu pasipochukuliwa takwimu halisia? Just for observation tuendelee na maisha tuone kati ya phase 1 na hii phase II, ipi itatuliza sana baada ya kwanza kujitahidi kutumia njia mbali mbali na hii tuliyokaidi.

Mwenyezi Mungu atupitishe salama pamoja na ukaidi wetu wa kushindwa kutumia akili zetu vyema na maarifa aliyotujalia ili tufanye post-mortem wote.

Kama mtu unaogopa kuonekana kituko kwa kutunza afya yake basi kifo ni haki yake
Leo Rais Dodoma anasema tumieni dawa ya asili inafanya kazi kwa asilimia 99% ya corona, tusiamini kila dawa inayotoka nje kwa maana nyingine Corona ipo kama kukiri juzi tu walisema hakuna corona kwetu. Sasa hii dawa inawezekana kweli sina ushahidi wa kukana ila tafiti zilifanywa kwa watu wangapi? data zikuwapi na wakati tulikuwa hatuna wagonjwa wa corona kwa mujibu wa serikali. Hawa wagonjwa katika mahospital je wanaweza kuthibitisha ndio dawa wanayopewa na ma Dr. Serikali ituweke wazi katika hili. Juzi wanasema vipi cjanjo haraka hivyo sasa sisi mbona dawa haraka sana tu.
 
1-Mask kama chandarua unaweza kulala lakini ukapata malaria nje ya chandarua ila inasaidia kujilinda.
2- Hakuna

Leo Rais Dodoma anasema tumieni dawa ya asili inafanya kazi kwa asilimia 99% ya corona, tusiamini kila dawa inayotoka nje kwa maana nyingine Corona ipo kama kukiri juzi tu walisema hakuna corona kwetu. Sasa hii dawa inawezekana kweli sina ushahidi wa kukana ila tafiti zilifanywa kwa watu wangapi? data zikuwapi na wakati tulikuwa hatuna wagonjwa wa corona kwa mujibu wa serikali. Hawa wagonjwa katika mahospital je wanaweza kuthibitisha ndio dawa wanayopewa na ma Dr. Serikali ituweke wazi katika hili. Juzi wanasema vipi cjanjo haraka hivyo sasa sisi mbona dawa haraka sana tu.
Sawa....
Vp ile ya madagascar tulipigwa au

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
1-Mask kama chandarua unaweza kulala lakini ukapata malaria nje ya chandarua ila inasaidia kujilinda.
2- Hakuna

Leo Rais Dodoma anasema tumieni dawa ya asili inafanya kazi kwa asilimia 99% ya corona, tusiamini kila dawa inayotoka nje kwa maana nyingine Corona ipo kama kukiri juzi tu walisema hakuna corona kwetu. Sasa hii dawa inawezekana kweli sina ushahidi wa kukana ila tafiti zilifanywa kwa watu wangapi? data zikuwapi na wakati tulikuwa hatuna wagonjwa wa corona kwa mujibu wa serikali. Hawa wagonjwa katika mahospital je wanaweza kuthibitisha ndio dawa wanayopewa na ma Dr. Serikali ituweke wazi katika hili. Juzi wanasema vipi cjanjo haraka hivyo sasa sisi mbona dawa haraka sana tu.
Alichosema rais
 
INATAKIWA UJIONGEZE MWENYEWE.
corona ni ugonjwa kama magonjwa mengine.ACHA HOFU

Kama kawaida binadamu kama halijampata. Kila mtu anaogopa kifo japo kuwa tunajuwa ni lazima utakufa tu. Hakuna shujaa katika kuumwa ugonjwa wowote lazima uchukuwe tahadhari na wala hakuna aliyesema ugonjwa huu wa maajabu ni kama kipindupindu hakuna mtu anadharau na ukidharau unakubeba tu. Corona kama magonjwa mengine tatizo lake hatujui tunagombana na nini wala adui hatumuoni. Hawa wengine sijui malaria, kipindupindu tunajuwa na tunamuona adui huyu bwana mkubwa Corona hatumuoni kimya kimya.
 
Labda nikusaidie takwimu.
Je hizo njia za kujikinga na Corona zimesaidia nini?.
Ikiwa takwimu inazidi kupanda kila siku?View attachment 1694103

Ndiyo maana nakueleza ujisomee kabla ya kutoa chochote. Kwa tunachokizungumzia, ulitakiwa uwe na group la watu ambao wanatumia intervention/kinga dhidi ya wale wasiotumia then remove the biases.
Hapo ndoo utazugumza una data/ takwimu. Hii ni orodha tu isiyokupa chochote kwa tunalolizungumzia hapa.
 
Back
Top Bottom